Biashara ya Michezo ya Video (Video Games): Jifunze Uendeshaji, Changamoto na Faida Zake

Hakuna biashara ambayo haina ushindani shehe. Kama ww hupati 40k haimanishi anayetaka kuanza ataikosa.
Nachukia watu wanaokatisha tamaa wengine kisa yeye kimemshinda. Kwa taarifa yako tu kupitia biashara hii hii watu tumejenga na tunasomesha.
 
Hakuna biashara ambayo haina ushindani shehe. Kama ww hupati 40k haimanishi anayetaka kuanza ataikosa.
Nachukia watu wanaokatisha tamaa wengine kisa yeye kimemshinda. Kwa taarifa yako tu kupitia biashara hii hii watu tumejenga na tunasomesha.
Amani chief. Long live
 
A.c ni kipengele achana nayo.
Umeme unaotakiwa kutumia uwe chini ya unit 5.7 yaan umeme wa elfu 2. Hapo faida utaiona. Pia kama ps haitumiki muda huo izime ili ipoe na pia kupunguza matumizi ya umeme yasiyokuwa na lazima.
Nafikiri hiyo ni vizuri zaidi ...kupunguza gharama zisizo na ulazima sana kwenye biashara yoyote.
 
Unaposema ya kuharibu pad unamaanisha nn?
Magame kama mortal kombat au god of war yana mzuka sana inapelekea mtu kubonyeza zile key mara nyingi na kwa nguvu akihisi ndo inakuwa labda inapga sana.

Kuja kushtuka vile vi raba vya ndani ya pad vimekufa vyote hivo batani kuwa useless au analog kuharibika kabsa.

Pad ya ps3 ni 40k ya mtumba na ps4 ni 120k ya mtumba au 60k mpaka 80k ya dukani.

Wakati ya pc ni 8k na ni ngumu kwakuwa sio kopi
 
Ume changanua vzr sana kiongozi ubarikiwe,kuliko kununua bodaboda kwa 2.2 milion na hawa madereva wenye viduku wana sumbua sana,ngoja nimm nifanyie research ya eneo,na kingine umesema Tv used kule mbweni ndio mpango mzima,naje hz Pc's used niwapi napata kwa urahisi hapa Dsm sa'bu kuna mtu alinambia Zanzibar ndio cheap zaidi
 
1.6 mil pekee? Tv 1 na ps4 1?
Mkuu sitatumia ps 4, nitatumia ps 3 2 na tv inch 32, 2.....hiyo kwa bei ya laki 3 vyote ni mil 1 laki 2.....laki 150 padi za akiba laki 150 kodi miezi 3....

nitachezesha mechi 2 za dakika 10 kwa 500.....

kwa mwanzo wa hii hiashara ni heri ps3, ili ujifunze biashara inaendaje na changamoto za machine na pad na wateja wako unawasoma....maana PS4 padi zake zinafika hadi 100 sasa ukipata changamoto ya pad kama hujajipanga unaona hailipi
 
Waone hawa jamaa. Ni NGO kwahyo hawapo kifaida sana. Utapata laptop au desktop nzuri tu ya gaming kwa bei nzuri. Laptop utakayo chukua hakikisha atleast ni core i7 kuanzia generation ya 3 na graphics card ya invidia. Wana laptop/desktop nzuri sana ambazo karibia ya 70% ya games zina support. Bei ni kuanzia 350k hadi 600k kutegemea na specs.
 
Kwa pad kwa bei nzuri mcheki huyu jamaa.
Pad za ps3 ni 15k za dukani
Pad za ps2 ni 8k za dukani
Pad za pc ni 8k
Pad za ps4 ni 60k za dukani.

Anaitwa ustaadhi
 
Kwa ps mcheki huyu jamaa. Yupo gerezani kariakoo. Anauza na kuchip ps. Anaingiza games.

Ps3 anauza 320k
Ps4 kuanzia 650k
Ps2 120k.

Hii ni pamoja na accessories zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…