Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,549
- 10,995
Bodaboda mzee kama unapiga mwenyw ipo frsh ila mafuta yamepanda bei but game nayo ipo frsh Zaid kikubwa uangalizi mzuri na location iliyochangamkaNdugu zangu vipi hii biashara na kununua bodaboda ipi itakuwa na tija naombeni mrejesho wakuu?
Duh ebwana samahani.bro Castr naomba mawazo yako kaka hata mimi nilikuwa nawaza hivi vitu viwili.
So gaming station ni bora zaidi aseee, kuliko bodaboda mkuu?Duh ebwana samahani.
Sijui kama umeshafanya maamuzi.
Tuconsider kila kitu kipo constant yaani bodaboda utafanya repair na ps controllers utazifanyia repair in a long run ps inakua better kwakua bodaboda itachoka ila siyo ps. Na bei ya bodaboda mpya inatosha kua na ps4, 3 na hata 2 kama unazipenda.
Isipokua kwa PS unatakiwa uwekeze kwenye location. Kama location utakaowekeza ni nzuri hata ps2 moja inatosha kukupa 10K mpaka 20K. Kuna mwaka nilipost kuuza ps2 humu kuna jamaa akanitafuta akaniambia tufanye exchange anipe simu nimpe game. Nikamkubalia, sikujua kumbe anatokea Moro mwaka huo nipo Dara, tukakutana tukamalizana.
Tukaja wasiliana akaniambia anatengeneza 40K to 60K per day. The reason ni kwakua hapo Moro alipo ni yeye tu alikua na game na mechi moja ni 500, wakati mimi (na Dar kwa ujumla) ps2 mechi moja ni 200.
So wekeza kwenye location na utaona bodaboda haina ishu.
Pia usiniaddress kama 'kaka'
Una play station ngapi?Kupata 30K au 40K kwa siku inawezekana ila HAINA HUALISIA ... Tokea nianze hiyo biashara sijawahi kuletewa 40K kwa siku .... wastani ni 15K mpaka 25K kwa siku.
Unafungua saa ngapi na kibali unachukulia wapi?Mapato ya mwezi wa kwanza yote nilitoa sadaka kwa Mungu ... ikaja ikatokea CORONA nilifunga miezi kadhaa kwa woga ... ila nilivyo fungua ndio walete mpaka leo
Baada ya ushindani ilikua 10K to 20K.So gaming station ni bora zaidi aseee, kuliko bodaboda mkuu?
Vipi wew hapo town zilipo ps nyingi ulikuwa unalaza bei gani? Tupe muongozo master mind
kama unaweza na unatarget watu wazima kiasi chukua 4......ila kama na wadogo wadogo basi chukua na 3 moja mkuuVip wadau nishachukua TV, sas PS mnanishauri nichukue ps4 mbil. Au ps4 moja na ps3?
Tv zimepanda bei siku hizi. Hupati inch 32 dukani kwa bei hiyo siku hiziinch 32 inakuwaga poa sana mkuu.....ila inategemea na bajeti yako maana hizo inch 32 unaweza pata kwa 250 zingine dukani kabisa ila brand ndogo ndogo
Ofisi iko wapi nije kukufunga fifaVip wadau nishachukua TV, sas PS mnanishauri nichukue ps4 mbil. Au ps4 moja na ps3?
Samahani naomba kujua ni ipi hyo biashara ya movie kakaBila shaka hii itakuwa ni ac mpya, je btu inakuwaje yenye matumizi mazuri ni ndogo au kubwa..
Nina jamaa yangu anafanya biashara ya movies, kwa siku anatumia umeme mwingi sana akiwasha AC yani ile unit Checker ya anesco kila ukichek umeme unapungua kama sekunde zinavyotembea.
Dvd player kiaje boss[emoji23][emoji23]et usiku wa gizaMimi hapa ni usiku wa giza. Naomba kuuliza kuna watu naona wacheza kwa kutumia DVD PLAYER au ni macho yangutu?
Kuuza movie lwenye flash, zilizo download ...Samahani naomba kujua ni ipi hyo biashara ya movie kaka
Hv hii nayo ipo vzrKuuza movie lwenye flash, zilizo download ...
Inategemea zaidi locationHv hii nayo ipo vzr