Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,201
- 16,246
Mtumba unaweza chukulia wapi.nipo mza mkuu.Zinawahi kuzingua. Isipochora mistari itaungua. Tv mpya nikiwa namaaanisha akina aborder, mr.uk na zenye kufanana na hzo. Ila kama unaweza ku afford brand kama samsung, lg, sony bravia toka shop ni poa zaidi. Mtumba kwa kuwa huwa ni cheap na zina quality kali kinyama
Upo pande zipi?Mawazo yako ni mawazo yangu.. nimenunua TVs na PS 4 nne.. hapa nakusanya mzigo wa furniture na rent huku nikifanya survey ya location nzuri..
Upo pande zipi?
Maeneo ya karibu na udom vp??Dodoma
Nataka kuanzisha na mie...ila sijaona sehemu mkisema vibali gan vinahitajika ili kukuepusha na usumbufu
Samahan..unaweza kunifahamisha malalamiko kama yapi kutoka kwenye jamii?Kuna sehemu na sehemu.
Baadhi ya sehemu kama niliyopo mimi hawahitaji vibali vyovyote. Wala serikali za mitaa hawasumbui. Ni wewe tu ila cha msingi ni kuzingatia muda wa kazi ili kuepusha malalamiko kutoka kwenye jamii unayoishi nayo.
Maeneo mengi ya namna hiyo ni yale ya mitaani.
Ukipata location za mjini lazima ujiandae na masuala ya vibali n.k.
Samahan..unaweza kunifahamisha malalamiko kama yapi kutoka kwenye jamii?
Na jamii haiwez kulalamika kuhusu makelele labda? Maana kuhusu wanafunz hilo rahisi kuwazuia..ila kelele ndio itakuwa shidaWatoto kutoenda shule.. kutwa wanacheza game
Hii michezo Zanzibar ilishapigwa marufuku maana ilikua inasababisha watoto wanaiba pesa majumbani kwao na hata kukataa kusoma kabisa. Kilichobakia ni kila mtu kubaki nyumbani kwake na kuinjoi na marafiki tu.Watoto kutoenda shule.. kutwa wanacheza game
Na jamii haiwez kulalamika kuhusu makelele labda? Maana kuhusu wanafunz hilo rahisi kuwazuia..ila kelele ndio itakuwa shida
Hii michezo Zanzibar ilishapigwa marufuku maana ilikua inasababisha watoto wanaiba pesa majumbani kwao na hata kukataa kusoma kabisa. Kilichobakia ni kila mtu kubaki nyumbani kwake na kuinjoi na marafiki tu.
Na jamii haiwez kulalamika kuhusu makelele labda? Maana kuhusu wanafunz hilo rahisi kuwazuia..ila kelele ndio itakuwa shida
Hii michezo Zanzibar ilishapigwa marufuku maana ilikua inasababisha watoto wanaiba pesa majumbani kwao na hata kukataa kusoma kabisa. Kilichobakia ni kila mtu kubaki nyumbani kwake na kuinjoi na marafiki tu.
Safi sana big up kwakeMdogo wangu anafanya hii biashara Ana TV mbili na PS 4 mbili kwakweli anapiga hela sana siku akiingiza hela mdogo Hadi analalamika ni 15,000/=.ameanza mwaka Jana November kuna kipindi alienda shule akaweka mtu na alikuwa anatumiwa hela zake vizuri tu.Dogo ni mcheza Mpira pia na anajua kucheza hizo PS haikua ngumu kwake kupata wateja maana marafiki zake na team mates ndo walianza kumsupport.
Pia fremu ipo barabarani na inaonekana sana mtu akipita hata kwenye daladala anapaona na anaweza kufika kirahisi.
Haruhusiwi kufungua asubuhi kwa ajili ya wanafunzi huwa anafungua kuanzia saa Saba mchana Hadi saa tano usiku,wikiendi anafungua kuanzia asubuhi.
Alifuata kibali Cha kuchezesha game kwa mwenyekiti wa mtaa akapata so hasumbuliwi sana.
Biashara inaenda vizuri anataka kuongeza screen na PS nyingine moja aweke na vinywaji na bites anawauzia wanaokuja kucheza Ni biashara nzuri sana kwake kwasababu anaipenda na anajua so hakosi hela ya vocha na vitu vingine.