Biashara ya Michezo ya Video (Video Games): Jifunze Uendeshaji, Changamoto na Faida Zake

Biashara ya Michezo ya Video (Video Games): Jifunze Uendeshaji, Changamoto na Faida Zake

Nishaifanyaga hii buzne long time.nilikua na ps2 tatu tu. Weekday nilikua naletewa 10,000 to 15,000. Weekend naletewaga 35,000 to 46,000. Changamoto ni pads watoto wanazivunja hasa game la baiskeli, god hand.

Ukiwa na hasira waweza mpiga mtoto kwenzi jinsi wanavyoharibu padi mbele yako. pads nzuri za mtumba zinauzwa kariakoo round about unaelekea mtaa wa kongo kidogo kushoto kuna chimbo la mambo ya ps.kuibiwa flash ni kawaida sana.

Nilikuja kuacha baada ya mzee mmoja alistaafu akachukua hela ya lidandasi akafungua ps kubwa mativii kibaao madogo wakanikimbia. Nikafunga nikauza ps zote kwa bei ya hasara.
 
Nishaifanyaga hii buzne long time.nilikua na ps2 tatu tu. Weekday nilikua naletewa 10,000 to 15,000. Weekend naletewaga 35,000 to 46,000. Changamoto ni pads watoto wanazivunja hasa game la baiskeli, god hand. ukiwa na hasira waweza mpiga mtoto kwenzi jinsi wanavyoharibu padi mbele yako. pads nzuri za mtumba zinauzwa kariakoo round about unaelekea mtaa wa kongo kidogo kushoto kuna chimbo la mambo ya ps.kuibiwa flash ni kawaida sana.
Nilikuja kuacha baada ya mzee mmoja alistaafu akachukua hela ya lidandasi akafungua ps kubwa mativii kibaao madogo wakanikimbia. Nikafunga nikauza ps zote kwa bei ya hasara.
Hahhaha...kaka ulijisahau. Ilitakiwa uji upgrade to ps3 na ps4
 
Mimi hapa ni usiku wa giza. Naomba kuuliza kuna watu naona wacheza kwa kutumia DVD PLAYER au ni macho yangutu?
 
Kaka niko na hiyo biashara ni ngumu kwa baadhi ya maeneo. Kuna saa nacheza mimi na mkewangu.
Mbona kawaida, Kuna saa najiuliza mwenyewe Bei ya bidhaa dukani. Yaani natoka nje dukan namuita msaidizi wangu namuuliza mtego wa panya Bei gani afu naingia dukani kusubiri wateja

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Kaka niko na hiyo biashara ni ngumu kwa baadhi ya maeneo. Kuna saa nacheza mimi na mkewangu.
Unatumia Playstation ngapi mkuu na unahisi changamoto ni nini?

pia je biashara ikikuendea vizuri huwa unafaidikaje?
 
Natumaini hamjambo.

Nina plan ya kuanzisha game center maeneo ya uswahilini kwa kuweka PS2 2 na PS3 2 ningependa kufahamu magemu pendwa kwa upande wa PS2 na PS3 na pia bila ya kusahau aina ya magem ambayo huaribu pad Kwa haraka ili nisiweke mengi.

AHSANTENI.
 
Back
Top Bottom