Nzagambaaa
JF-Expert Member
- Jan 22, 2023
- 1,135
- 1,826
Kahama hupati kwa 50000 labda 66000,Kuna mtu anafanya. Ununuzi ni wengi Sanaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vip bei zake na upatikanaji wakeMpunga dakawa wa kweny maplot (mashamba ya serikal) bad awajaanz kuvuna ila ya nje tyr ila mm bro nasubilia
Usuka nishafika, wadau walikuwa na mahindi ila bei kitoongaNjombe
Wadanganye waingie kichwakichwa wauziwe pimamaji au mapepe halafu junia kutoa 70 hiko kipimo sio rasimi usiwakurupushe zen mchele wa shinyanga,mwanza,geita hauna soko MCHELE PENDWA NI MBEYA NA MOROGORO TU SO JIPANGE VIZURINapenda kuwasanua vijana na madini haya
Mikoa ya shinyanga na wilaya zake pamoja na tabora na wilaya zake baadhi pia umeanza uvunaji wa mpunga tokea mwezi wa4 mwanzoni mpak kuendlea!!
Manunuzi ya gunia Moja la mpunga lazidi kushuka sasahv ni 45,000/= 50,000/= na Kuna ule supa mabeyenge una 60,000/=+
Kwa kahama vijijijini humu kipimo ni kutikisa mfuko unapata kg70+ ya mchele
Japo bei zinaporomoka huku tulipo ila huko ulipo hope sio 1,200/= kama huku!
Kukoboa gunia Moja ni 4,000/=
Kusafirisha 2,000/=
Vibega 500/=
Kama unataka ku grade mchele wako huku gharama yake ni tshs 15 per kg( hapo Kuna hela ya walishaji watakaopaka mafuta kama utahitaji wataopakia kwenye mifuko watakaoshona na watakaopakiakwenye gari)
Usafiri wa mchele kutoka huku ni mrahisi sana ila be patient sometimes it gonna be late for days but not weeks
Kuna madalali wanakutaftia gari mpk sehemu unaenda na nauli unalipia muda umepokea mzigo!!
Simple maths umenunua kwa 50,000 ikatoa kg 70 umenunua kwa 714/kg ukiweka gharama zote ufanye zimefika 10,000 pmja na ushuru nauli vibega inakuwa 857/kg hapo Bado mzigo haujakufikia ulipo!!
Anza kupiga mahesabu ya usafiri mpka ulipo!! Kama itakulipa njoo fanya biashara au nunua mzigo uuze!!
Tunafanya biashara singida manyara arusha Dodoma Kilimanjaro na Tanga!!
Ujuaji mwingi,unataka kuaminisha hauuzwi nje.mtu hujawahi hata fika Eneo husika au kufatilia biashara husika una mcrash Bongo bana.Kahama malori Kila sekunde yanabeba Michele we unasema Nini.Wadanganye waingie kichwakichwa wauziwe pimamaji au mapepe halafu junia kutoa 70 hiko kipimo sio rasimi usiwakurupushe zen mchele wa shinyanga,mwanza,geita hauna soko MCHELE PENDWA NI MBEYA NA MOROGORO TU SO JIPANGE VIZURI
Binasfsi. Simshauri mtu kufanya biashara ya kununua mpunga kama si mkulimaNapenda kuwasanua vijana na madini haya
Mikoa ya shinyanga na wilaya zake pamoja na tabora na wilaya zake baadhi pia umeanza uvunaji wa mpunga tokea mwezi wa4 mwanzoni mpak kuendlea!!
Manunuzi ya gunia Moja la mpunga lazidi kushuka sasahv ni 45,000/= 50,000/= na Kuna ule supa mabeyenge una 60,000/=+
Kwa kahama vijijijini humu kipimo ni kutikisa mfuko unapata kg70+ ya mchele
Japo bei zinaporomoka huku tulipo ila huko ulipo hope sio 1,200/= kama huku!
Kukoboa gunia Moja ni 4,000/=
Kusafirisha 2,000/=
Vibega 500/=
Kama unataka ku grade mchele wako huku gharama yake ni tshs 15 per kg( hapo Kuna hela ya walishaji watakaopaka mafuta kama utahitaji wataopakia kwenye mifuko watakaoshona na watakaopakiakwenye gari)
Usafiri wa mchele kutoka huku ni mrahisi sana ila be patient sometimes it gonna be late for days but not weeks
Kuna madalali wanakutaftia gari mpk sehemu unaenda na nauli unalipia muda umepokea mzigo!!
Simple maths umenunua kwa 50,000 ikatoa kg 70 umenunua kwa 714/kg ukiweka gharama zote ufanye zimefika 10,000 pmja na ushuru nauli vibega inakuwa 857/kg hapo Bado mzigo haujakufikia ulipo!!
Anza kupiga mahesabu ya usafiri mpka ulipo!! Kama itakulipa njoo fanya biashara au nunua mzigo uuze!!
Tunafanya biashara singida manyara arusha Dodoma Kilimanjaro na Tanga!!
debe 7 za mpunga hazifikishi debe 3.5 za mchele?Huyu jamaa anatuona maponkino kabisa, yani hata utikise vipi gunia halifikishi kilo 70
Katika kilimo cha mpunga kwa sasa Tanzania sio Mbeya na Morogoro tu, mpunga unalimwa karibu kila kanda kuanzia kanda ya ziwa, kaskazini hadi kusini(ruvuma, lindi, mtwara)Wadanganye waingie kichwakichwa wauziwe pimamaji au mapepe halafu junia kutoa 70 hiko kipimo sio rasimi usiwakurupushe zen mchele wa shinyanga,mwanza,geita hauna soko MCHELE PENDWA NI MBEYA NA MOROGORO TU SO JIPANGE VIZURI
Hao wana mitaji mikubwa kaka na wanawalangua wakulimaKatika kilimo cha mpunga kwa sasa Tanzania sio Mbeya na Morogoro tu, mpunga unalimwa karibu kila kanda kuanzia kanda ya ziwa, kaskazini hadi kusini(ruvuma, lindi, mtwara)
Kwa sasa Super Kahama ndio mbegu inayotoa mchele bora (super) kuliko mbegu zote mlozoea Morogoro au Mbeya (Mbawambili, Karamata, Mwendambio, Fayadume, Zambia, Kyela) zote hizo hazina mchele ulionyooka kama hiyo super shinyaga
Kutokana na kilimo cha biashara Mbeya na Morogoro wakulima wanachagua mbegu za kisasa kama Hybrid za miezi 3 na hizi SAL01,02 na 05 kwa ajili ya kipato kikubwa
Wachache wanaolimba mbegu za kienyeji hazitoi mchele super sababu ya mambolea, madawa na kuchoka kwa ardhi katika mikoa hiyo
Kama ushauri wako ungekuwa ni wakweli basi hawa wahindi wa kapungu au huyu wa korie morogoro wangeshafunga virago na kurudi kwao maana ndio biashara inayowaweka bongo