Biashara ya mpunga na mchele

Kahama hupati kwa 50000 labda 66000,Kuna mtu anafanya. Ununuzi ni wengi Sanaa.
 
Wadanganye waingie kichwakichwa wauziwe pimamaji au mapepe halafu junia kutoa 70 hiko kipimo sio rasimi usiwakurupushe zen mchele wa shinyanga,mwanza,geita hauna soko MCHELE PENDWA NI MBEYA NA MOROGORO TU SO JIPANGE VIZURI
 
Ujuaji mwingi,unataka kuaminisha hauuzwi nje.mtu hujawahi hata fika Eneo husika au kufatilia biashara husika una mcrash Bongo bana.Kahama malori Kila sekunde yanabeba Michele we unasema Nini.

Uganda,Kenya via silali ndo Michele wauchukuao. Arusha Michele ni Kahama,magugu na Mbeya..
 
Binasfsi. Simshauri mtu kufanya biashara ya kununua mpunga kama si mkulima
Bora uwe dalali wa mchele au kununu mchele toka kwa wakulima na kuchuuza kwa wanunuzi

Biashara ya mpunga ina Risk kubwa na return yake sio ya uhakika
 
Wadanganye waingie kichwakichwa wauziwe pimamaji au mapepe halafu junia kutoa 70 hiko kipimo sio rasimi usiwakurupushe zen mchele wa shinyanga,mwanza,geita hauna soko MCHELE PENDWA NI MBEYA NA MOROGORO TU SO JIPANGE VIZURI
Katika kilimo cha mpunga kwa sasa Tanzania sio Mbeya na Morogoro tu, mpunga unalimwa karibu kila kanda kuanzia kanda ya ziwa, kaskazini hadi kusini(ruvuma, lindi, mtwara)

Kwa sasa Super Kahama ndio mbegu inayotoa mchele bora (super) kuliko mbegu zote mlozoea Morogoro au Mbeya (Mbawambili, Karamata, Mwendambio, Fayadume, Zambia, Kyela) zote hizo hazina mchele ulionyooka kama hiyo super shinyaga

Kutokana na kilimo cha biashara Mbeya na Morogoro wakulima wanachagua mbegu za kisasa kama Hybrid za miezi 3 na hizi SAL01,02 na 05 kwa ajili ya kipato kikubwa

Wachache wanaolimba mbegu za kienyeji hazitoi mchele super sababu ya mambolea, madawa na kuchoka kwa ardhi katika mikoa hiyo

Ukizunguka masoko ya mchele yote kuanzia Mbezi, Riveside, Manzese na Mbagala huwezi kupata Super ya Mbeya kwa sasa ambayo ina hadhi ya basmati Ata ikiwa grade ya mashine basi rangi hakuna na kama rangi ipo basi harufu hakuna
 
Hao wana mitaji mikubwa kaka na wanawalangua wakulima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…