Biashara ya mpunga na mchele

Biashara ya mpunga na mchele

Senior masai

Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
88
Reaction score
89
Napenda kuwasanua vijana na madini haya
Mikoa ya shinyanga na wilaya zake pamoja na tabora na wilaya zake baadhi pia umeanza uvunaji wa mpunga tokea mwezi wa4 mwanzoni mpak kuendlea!!
Manunuzi ya gunia Moja la mpunga lazidi kushuka sasahv ni 45,000/= 50,000/= na Kuna ule supa mabeyenge una 60,000/=+
Kwa kahama vijijijini humu kipimo ni kutikisa mfuko unapata kg70+ ya mchele
Japo bei zinaporomoka huku tulipo ila huko ulipo hope sio 1,200/= kama huku!
Kukoboa gunia Moja ni 4,000/=
Kusafirisha 2,000/=
Vibega 500/=
Kama unataka ku grade mchele wako huku gharama yake ni tshs 15 per kg( hapo Kuna hela ya walishaji watakaopaka mafuta kama utahitaji wataopakia kwenye mifuko watakaoshona na watakaopakiakwenye gari)
Usafiri wa mchele kutoka huku ni mrahisi sana ila be patient sometimes it gonna be late for days but not weeks
Kuna madalali wanakutaftia gari mpk sehemu unaenda na nauli unalipia muda umepokea mzigo!!

Simple maths umenunua kwa 50,000 ikatoa kg 70 umenunua kwa 714/kg ukiweka gharama zote ufanye zimefika 10,000 pmja na ushuru nauli vibega inakuwa 857/kg hapo Bado mzigo haujakufikia ulipo!!

Anza kupiga mahesabu ya usafiri mpka ulipo!! Kama itakulipa njoo fanya biashara au nunua mzigo uuze!!

Tunafanya biashara singida manyara arusha Dodoma Kilimanjaro na Tanga!!
 
Mm nasema facts coz naifanya na siuuzi kahama,, nimepiga bei ya gunia la mpunga na mchanganuo wake soma thread ukaielewa!!
Ni sawa bei zinapanda na kushuka ila bei ya gunia la mpunga ndio hiyo otherwise haufanyi biashara ya mpunga unataka kubisha bila sababu
 
Ukiskia bei ya Mpunga inashuka maana yake furaha ipo kwa Mfanyabiashara na ukiskia mpunga unapanda bei basi mkulima anakuwa ameupiga mwingi.

Navuta picha kwa hao wakulima wa shinyanga. Kwa sisi wakulima wa alizeti mwaka huu alizeti ni utajiri kwa wilaya ya wanging'ombe.
Kwahiyo mambo ni super.
 
Ipo wapi hio wilaya..?
Wanauzaje kwa kilo..?
 
Napenda kuwasanua vijana na madini haya
Mikoa ya shinyanga na wilaya zake pamoja na tabora na wilaya zake baadhi pia umeanza uvunaji wa mpunga tokea mwezi wa4 mwanzoni mpak kuendlea!!
Manunuzi ya gunia Moja la mpunga lazidi kushuka sasahv ni 45,000/= 50,000/= na Kuna ule supa mabeyenge una 60,000/=+
Kwa kahama vijijijini humu kipimo ni kutikisa mfuko unapata kg70+ ya mchele
Japo bei zinaporomoka huku tulipo ila huko ulipo hope sio 1,200/= kama huku!
Kukoboa gunia Moja ni 4,000/=
Kusafirisha 2,000/=
Vibega 500/=
Kama unataka ku grade mchele wako huku gharama yake ni tshs 15 per kg( hapo Kuna hela ya walishaji watakaopaka mafuta kama utahitaji wataopakia kwenye mifuko watakaoshona na watakaopakiakwenye gari)
Usafiri wa mchele kutoka huku ni mrahisi sana ila be patient sometimes it gonna be late for days but not weeks
Kuna madalali wanakutaftia gari mpk sehemu unaenda na nauli unalipia muda umepokea mzigo!!

Simple maths umenunua kwa 50,000 ikatoa kg 70 umenunua kwa 714/kg ukiweka gharama zote ufanye zimefika 10,000 pmja na ushuru nauli vibega inakuwa 857/kg hapo Bado mzigo haujakufikia ulipo!!

Anza kupiga mahesabu ya usafiri mpka ulipo!! Kama itakulipa njoo fanya biashara au nunua mzigo uuze!!

Tunafanya biashara singida manyara arusha Dodoma Kilimanjaro na Tanga!!
Asant sanaa

Unasafirisha kwenda wapi? Acha ushamba biashara haiko hivyo.
 
Back
Top Bottom