Biashara ya mtaji mdogo kati ya Dar au Mikoani

Kwa mtaji wa 2M nadhani unachopaswa kuangalia ni aina gani ya biashara na sio eneo la biashara. Huku mkoani huo mtaji humalizi eka 1 ya kitunguu while kuna mtu hapo juu ameshauri upike kuku na soup kitu ambacho ni kizuri pia. Au kwa mtaji huo pia unaweza fungua office ukawa unafanya miamala n.k

Usiangalie location jua kwan,a ni biashara gani utafanya ndio ujue itafaa mkoani au DSM
 
Eti Wakuu wapi ni bora kati ya Dar au Mikoani kuanza na biashara yenye mtaji mdogo mfano 2M
Dar maeneo ya pembezoni
Tena pombe za kienyeji mixer za kiwandani....zinalipa sana weka supu za bei poa na misosi....banda la mpira
 
Mfano biashara ya Phone accessories, Au Vipodozi vya kike, Au Office ya kufanya muamala ya pesa

Kwa mtaji wa 2M nadhani unachopaswa kuangalia ni aina gani ya biashara na sio eneo la biashara. Huku mkoani huo mtaji humalizi eka 1 ya kitunguu while kuna mtu hapo juu ameshauri upike kuku na soup kitu ambacho ni kizuri pia. Au kwa mtaji huo pia unaweza fungua office ukawa unafanya miamala n.k

Usiangalie location jua kwan,a ni biashara gani utafanya ndio ujue itafaa mkoani au DSM
 
Eti Wakuu wapi ni bora kati ya Dar au Mikoani kuanza na biashara yenye mtaji mdogo mfano 2M
Ukitoka biashara ya vyakula ...Ni sehemu ipi nzuri nje ya Dar kwa huo mtaji wa 2M unaweza Anza biashara ya Phone accessories, au Vipodozi vya wanawake, au miamala ya fedha nje ya JIJI la Dar?
 
Kwa mtaji wa 2M nadhani unachopaswa kuangalia ni aina gani ya biashara na sio eneo la biashara. Huku mkoani huo mtaji humalizi eka 1 ya kitunguu while kuna mtu hapo juu ameshauri upike kuku na soup kitu ambacho ni kizuri pia. Au kwa mtaji huo pia unaweza fungua office ukawa unafanya miamala n.k

Usiangalie location jua kwan,a ni biashara gani utafanya ndio ujue itafaa mkoani au DSM
Mkuu napingana na wewe unaposema asijali location,Yani niseme Kwa herufi kubwa BIASHARA NI LOCATION SAHIHI SIO UKUBWA WA MTAJI(LOCATION NDIO BIASHARA)Unaweza kuwa na mtaji mkubwa na Bidhaa nzuri lakini usiuze kulingana na location uliyopo,kifupi location yenye mzunguko wa wateja wa kutosha ndio itakayokufanya kukua kibiashara.naongea Kwa experience.
 
Back
Top Bottom