Biashara ya mtaji wa milioni 2

Biashara ya mtaji wa milioni 2

Je profit margin inatakiwa iwe ngapi kwa capital ya 2M wadau ?
 
Hapo ndipo mnapofeli nyie wasomi

Mnaleta vingereza vingi kwenye mambo ya kujilipua

Hapana Kaka ikiwekwa kiswahili inakuwa inaeleweka kirahisi .Ila kuna makadirio ya Profit Margin na Gross Profit ndo naulizia
 
kinywanyuku mambio wakuu Pm zenu niliziona, ila nashindwa kuzifungua sababu PM yangu haifunguki sasa ni zaidi ya miezi 4.

Uongozi wa JF nimelalamika lakini sikupata msaada mpaka sasa.

Kwa wote walioniulizia kuhusu meza kariakoo mnaweza kupiga kwa namba hii +255768341670 .

Zingatia hili mara nyingi meza wanaanza kulipia miezi sita na bei hutofautiana kutegemea na eneo.
 
Inawezekana kupata zaidi ya Hiyo Elfu 90 kwa Wiki, Mimi nimewekeza Milion 4 Napata Mpaka Laki tatu kwa Wiki na Kila Siku sikosi 50 mpaka 70.
ulo vzr sana sasa hiyo 300k kwa wiki ukijibana mwezi ni 1.2 tufanye 200k unaishi 1m inabaki unaongeza kwen 4m iwe 5m ndani ya miezi minne unakuwa na 10m safiii
 
Nimeona wengi humu wanaishia kutwambia faida zao za wiki na mwezi na mtaji alio Anza nao .... Badala ya kutuambia ni biashara ipi
what works for me wont work for you dear
nikupambana tu
 
Je profit margin inatakiwa iwe ngapi kwa capital ya 2M wadau ?
Kikawaida biashara ndogo faida isiyo na stress ni angalau 10% ingawa zipo zinazotoa mpaka 40% ila km unataka kufanya biashara bila kutingisha pressure ya mwili ww tegemea tu 10% ya ulichowekeza kwa mwez
 
Back
Top Bottom