The Loyalty King
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 1,298
- 2,124
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kuna ndugu yangu na hela zake za mawazo miaka hiyo ya 1990's alienda kutest biashara ya mkaa. Akabeba kwenye lori kubwa mkaa top.
Balaa likaja kuna mpuuzi alikuwa anavuta sigara sijui alitupa kipisi mule ndani ule upepo kitu kikakolea, balaa lake ni masaa machache baadae. Moto uliowaka ulikuwa sio mchezo maana ulikolea kuanzia chini kuja juu, ukalipuka ghafla ukiwa umeshashika vizuri hapo kati kmmmke ilikuwa ni comedy moja matata. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]