Mtu mwenye uwezo wa kuzingusha japo 50M kwenye biashara hawezi kukosa taarifa sahihi juu ya biashara anayowaza kuifanya maana huwa kuna kampani kubwa sana ya kiuchumi, sasa wewe 100M kabisa unakuja kuleta hoja zisizoeleweka humu? HELA ZINA MKONDO WAKE BWANA.Hodi humu
Natafuta patner wa kufanya nae biashra ya nafaka mwenye uzoefu na biashara hio.
Mtaji upo wa 100M.
Yeyote mwenye proposal nzur ya biashara ya nafaka aje dm au ashare apa.
Proposal ambayo itadadavua biashra yote kiundani. ( anzia upatikaaji wa nafaka na bei zake , gharama za usafirishaji, vibal vinavyotakiwa, masoko na bei zake, misimu ya upatikanaji n.k) . Atakeyukaj na mchanganuo mzur zaid ndo atawin deal.
Karibun