Biashara ya Nafaka

Biashara ya Nafaka

Emanueld

Member
Joined
Nov 8, 2013
Posts
73
Reaction score
41
Hodi humu

Natafuta patner wa kufanya nae biashra ya nafaka mwenye uzoefu na biashara hio.

Mtaji upo wa 100M.

Yeyote mwenye proposal nzur ya biashara ya nafaka aje dm au ashare apa.
Proposal ambayo itadadavua biashra yote kiundani. ( anzia upatikaaji wa nafaka na bei zake , gharama za usafirishaji, vibal vinavyotakiwa, masoko na bei zake, misimu ya upatikanaji n.k) . Atakeyukaj na mchanganuo mzur zaid ndo atawin deal.
Karibun
 
Mtu mwenye uwezo wa kuzingusha japo 50M kwenye biashara hawezi kukosa taarifa sahihi juu ya biashara anayowaza kuifanya maana huwa kuna kampani kubwa sana ya kiuchumi, sasa wewe 100M kabisa unakuja kuleta hoja zisizoeleweka humu? HELA ZINA MKONDO WAKE BWANA.

Yani kwenye 100M unakuja kutafuta partiner humu kwenye fake I'd???[emoji23]
 
KWA KIASI HICHO, TAFUTA KAMPUNI ZENYE KUTOA MAWAZO YA BIASHARA
ZIKO NYINGI SANA
 
Back
Top Bottom