KUULIZA SI UJINGA WASWAHILI TUNASEMA........
natamani kufanya biashara , na fedha nilizonazo jumla kwa ajili ya kufanyia biashara hiyo ni tshs 2,000,000/= tu.
katika biashara hii, natamani kupata faida ya tshs 200,000/= baada ya kuondoa gharama zote za biashara usika kwa mwezi.
kama ipo, msaada tafadhari.....
naomba kuwasilisha, nategemea mengi toka kwenu GREAT THINKERS
hiyo ni biashara nzuri mkuu, ila risk yake iko juu sana.....
hela yenyewe ndo hii,hii....
wakikapora si ntaweza zimia.............
Njoo tununue ng'ombe mkuu
Njoo tuongee kuhusu ng'ombe 0779420000
wapi huko mkuu. Ni PM tuongeeNjoo tununue ng'ombe mkuu
poa mkuuwapi huko mkuu. Ni PM tuongee
poa mkuuwapi huko mkuu. Ni PM tuongee