Biashara ya NGISI mahotelini

Biashara ya NGISI mahotelini

Kwa wale wenyeji wa Zanzibar ambao wanamiliki mahoteli nilikua natafuta soko la ngisi

Kwa sasa wapo ngisi kama kilo elfu nane

Ngisi wanapatikana UNGUJA UKUU

Kwa alie tayari naomba tuwasiliane PM
Kuna rafiki yangu mzenji angekusaidia hii chap. Bahati mbaya nacheki sioni namba yake. Anaishi Tunguu kule ana nyumba za kukodisha watasha anajuana sana na watu wa mahoteli na wanamuamini. Mungu akusaidie hitaji lako mpambanaji.
 
Asante ila kama utapata namba yake usisite kunipa
 
images (60).jpeg
Calamari,ebwana watamu hao samaki.
 
Back
Top Bottom