Biashara ya ng'ombe: Mkoa gani naweza kununua ng'ombe kwa bei nafuu

Biashara ya ng'ombe: Mkoa gani naweza kununua ng'ombe kwa bei nafuu

unawaweka wapi boss ukishawanunua
Swali zuri sana.ukiwa mtu wa Dar sana huwezi jua utawaweka wapi kwakuwa dar utakutana na changamoto ya lishe na eneo lakufugia.

Ila kwa mimi ninaezunguka mikoani ni rahisi sana kupata eneo na malisho.

Any way sio kila biashara inaweza fanywa na mtu yeyote.
 
Hebu nitafute kijana unataka kununua mkoani uje uuze Dar unamaanisha Pugu Mnadani Ng'ombe ya kg 100 mkoani inauzwa 500,000 Pugu mnadani unauza 580,000 ukikata gharama zote faida 40,000 ama 30,000 kwa ng'ombe inahitaji msingi mzuri ili upate faida nzuri.
Hapo umenunua na kupakia kwenda kuuza,maana nauli tu ya kumsafirisha ng'ombe ni 40,000.
 
Back
Top Bottom