Gemini Are Forever
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 1,508
- 2,619
Pwani kubwa boss pwani ipi hiyo kama huta jari utusaidie hapa ili tuzidi pata mwanga
Wilaya ya karibia zote kuna minada. Ila hasa ninayoifahamu mm ambapo ng'ombe wanapatikana ni mnada wa Kitonga (unapita Chole, kuna kijiji kinaitwa vikumburu then kwa mbele. Pia kuna kijiji kinaitwa Gwata pia kuna mnada, (unashuka Mlandizi, unakuja Mzenga then kwa mbele.. Kuna mnada wa Ruvu pia (unapita Mlandizi ukivuka daraja ndo kuna mnada).Wilaya ya Kisarawe vijiji gani naweza kununua ng'ombe kwa urahisi,namanisha vijiji gani kuna minada ya ng'ombe?
Wafanyabiashara wa hv vijiji hununua ng'ombe Kitonga na Gwata then hupeleka Ruvu.. huo mnada wa Ruvu hupigwa kila siku.