Ushauri wangu fanya upembuzi yakinifu wa Biashara hii....usikurupuke! Utazamisha mtaji. Ukishapembua kwa kina ng'ombe wazuri wenye uzito huo kwa wingi utawapata katika minada yote ya
Mkoa wa Geita( hapa wanakuwa na asili ya kinyankole Hadi kg 500+ utapata)
Ushirombo, chato, Geita, bukombe ,runzewe wapo wengi na usafiri ni wa uhakika
Mkoa wa kagera- biharamulo,nyakanazi, lusahunga , ngara, muleba na karagwe hapo wapo wengi Sana na zaidi ya kg 100
Mkoa wa Dodoma utapata Wengi ni ile mbengu ndogo ila kg 100-200+ wilaya za chemba, bahi, chamwino, happy uhakika
Mkoa wa shinyanga, ng'ombe ni wakubwa kidogo kuliko wa Dodoma utapata kwenye minada ya kahama, tinde, didia, mhumze, kishapu, nk
Mkoa wa simiyu-bariadi , meatu nk
Mwanza , sengerema , misungwi,magu nk
Asante