Biashara ya ngono inayofanywa mitandaoni

Sasa hii biashara imehamia mitandaoni ukiingia Telegram kuna mpka madalali wa wa kuunganisha madem kama unahitaji mkoa wowote ule unaunganishwa mabint wadogo kabisa wanajihusisha na hii biashara tena ule mtandao pendwa unatolewa nje nje hii ni hatari dunia inaelekea tabati.

Nawasilisha
Bro huna hata kapicha?
Tutaaminije?
 
Sasa hii biashara imehamia mitandaoni ukiingia Telegram kuna mpka madalali wa wa kuunganisha madem kama unahitaji mkoa wowote ule unaunganishwa mabint wadogo kabisa wanajihusisha na hii biashara tena ule mtandao pendwa unatolewa nje nje hii ni hatari dunia inaelekea tabati.

Nawasilisha
Tuko 20 centuries hili sio taifa la upako au taifa la uarabuni its free country.
 
Back
Top Bottom