Biashara ya ngono inayofanywa mitandaoni

Biashara ya ngono inayofanywa mitandaoni

Hiyo ni biashara kongwe ndugu. Tangu enzi za kina yesu huko watu wanajiuza

Sent using Jamii Forums mobile app
Na enzi hizo ukishikwa unazini tu acha kujiuza ilikuwa unapigwa mawe hadharani hadi kufa au ukipata mimba kabla ya ndoa uchagani tu hapo unachomwa mkuki ufe hadharani, kulikuwa na kificho na heshima ilikuwepo siyo sasa, wanawake kwa wanaume wanajiuza waziwazi ukahaba uesharati uzinzi vimekuwa sifa.
 
Back
Top Bottom