Biashara ya Ngono jijini Dar inatisha, yazidi kunawiri

Ni hatari sana na wanaume wanaonunua wana roho ngumu na hawana kinyaa yaani unajua kabisa unaweza ukawa ni 13 hivi kwa siku hiyo na bado unaenda na wewe sehemu walipotoka wenzio🤔
Condom ni lazima na hakunaga kupapasana ni kuchovya tu, hakuna kinyaa hapo.

Achana na kujua kua kuna mwanaume katoka hapo kuna mahali unakutana na foleni kabisa inasubiri huduma, ni bandika bandua.
 
Ni Moja ya biashara kongwe sana duniani
 
Condom ni lazima na hakunaga kupapasana ni kuchovya tu, hakuna kinyaa hapo.

Achana na kujua kua kuna mwanaume katoka hapo kuna mahali unakutana na foleni kabisa inasubiri huduma, ni bandika bandua.
Ni kuchovya tu? Sasa bila mpapasano hiyo erection inatokea wapi inabidi utoke nyumbani ukiwa umesimamisha mkuyenge tayari? Je vipi condom ikapasuka?
Mnapanga foleni ya kuchovya ama? 😂
 
Hakuna lolote jipya kwenye habari hiyo kuhusu ukahaba

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Ni kuchovya tu? Sasa bila mpapasano hiyo erection inatokea wapi inabidi utoke nyumbani ukiwa umesimamisha mkuyenge tayari? Je vipi condom ikapasuka?
Mnapanga foleni ya kuchovya ama? 😂
Wanaume si kama wanawake kwamba mpaka apapaswe ndio apate hisia, mpaka anafika pale hisia ziko juu. Akishikwa kidogo tu ama kuona ule utupu tayari ngoma hiyooo.

Yaah ni kuchovya tu mkuu, coz inabidi ufanye chap bibie andelee kuhudumia wateja wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…