Biashara ya Ngono jijini Dar inatisha, yazidi kunawiri

Pale nyuma ya stendi ya zamani ya Nyegezi zile gesthouse zilishakodiwa na makahaba ni buku tano tu .Ila kitu kinachoniuma ni kuwa wale makahaba akipita mtu eneo hilo hawaangalii umri wenyewe wanaita tu,kimfano siku moja nimepita vijana 2 hv wakizidi sana labda kidato cha kwanza wakaitwa na kahaba flani umri kama mzazi wao nikaona wanashawishika wakiambiwa walipe buku 5 wakapate raha wote wawili wale madogo nikaona kama wamekubali vile ile kahaba anataka kwenda nao gesti pale maana ni hatua chache nikawahi kumuita akawaacha wale madogo akanifata akajua ni mteja.Na mimi nikazuga kumuuliza usku mzima shingapi akawanitajia bei nikakata kona😂😂maana wale madogo niliwaambia huyu tayari wangu nendeni home.
Kwa mihemko ya wale madogo najua tu walirudi tena
 
Duh haya mkuu! Wanaume nyie mnaerect hata kwa mtu asiye mpenzi wako na wala haumfeel 🙄 unatoka wewe mwingine naye anaingia pale pale ulipotoka wewe aisee
 
Mmh sawa ila erection ni feeling sasa kwa mtu ambaye hata si mpenzi wako hiyo erection itatokea kweli na ukikumbuka huenda wewe ni wa 19 kuchovya[emoji848]
Erection kwa wanaume hata ukiona picha tu, inaweza fanyika. Ila sasa kupanga foleni, huo ni ujasiri mwingine! Ambao wanaume tuna tofautiana kuwa nao.
 
Hao makahaba wanapata pesa nyingi Sana Ila wengi wanashindwa kuinverst ili wajikwamue kimaisha wanaishia kufanya hio kazi maisha Yao yote.
 
Duh haya mkuu! Wanaume nyie mnaerect hata kwa mtu asiye mpenzi wako na wala haumfeel 🙄 unatoka wewe mwingine naye anaingia pale pale ulipotoka wewe aisee
Kwani nyie mnapatwa na hisia kwa mpenzi wako tu?? Mbona kuna kuliwa kimasikhara na uchepukaji imekaaje hiyo??

Kwa wanaume kuerect ni kwa yeyote tu ni wachache sana wanaokua na hizo mambo za hisia sijui nini na nini, just imagine hata wale vichaa barabarani kuna vijeba vinawadunga kama kawa😁😁
 
wanasaidiaje ndoa kudumu?
 
Sunzu Okwei nimekumis wangu.

Ukahaba hata pale 24/7 Nyuma ya jengo la ushirika kariakoo ni kubwa sana.
Saluni nyingi za sinza kule nyuma vyumba vya massaji ni danguro, unapewa shoo kwa kusimaa ama kulala ni wewe tu.
 


Irasmishwe. Watengewe maeneo maalumu. Tuache utamaduni wa kuweka kumbi za starehe kila mahali mtaani kuepusha fujo na kutunza maadili hasa kwa watoto. Tukihalalisha biashara hii itafanyika kwa weledi sana. Hata hawa wajasiriamali watakuwa na uwezo wa kulinda afya zao na za wateja wao kuliko hivi sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…