Biashara ya ngono na namna inavyokomeshwa

Biashara ya ngono na namna inavyokomeshwa

Angyelile99

Member
Joined
Oct 9, 2023
Posts
89
Reaction score
164
Ugumu wa maisha unaoambatana na ukosekanaji wa ajira kwa mabinti, kukosa mawazo sanifu ya kibiashara pamoja na mitaji, na ugumu wa maisha unaoambatana na kupanda kwa bei za kimaisha ni miongoni mwa mambo yanayowapelekea wanawake wengi kujihusisha na biashara ya ngono ikidhaniwa kuwa ni moja ya njia rahisi ya kujipatia kipato kinachoweza kukidhi mahitaji yao.

Binafsi, nadhani kampeni zinazofanywa na viongozi jijini Dar kwa lengo la kukomesha biashara hizi kwa kuwakamata na kuharibu maeneo yao ya kazi, haiwezi kuwa tiba ya moja kwa moja. Bali ni kuhakikisha utafiti wa kudumu unafanyika juu ya namna gani wanawake hawa wanaweza kusaidiwa.

Kwanza ni kwa kuanza na tiba ya saikolojia itakayowajengea kujiamini kama wanajamii wengine na kuwatengenezea misingi ya fursa kwa kutoa mikopo itakayoambatana na masharti elekezi.
 
Safi👍kwa bandiko nzuri.
Nadhani hoja yako isikilizwe maana limekua janga😢 kubwa
👉tz na dunia kwaujumla.
 
Ugumu wa maisha unaoambatana na ukosekanaji wa ajira kwa mabinti, kukosa mawazo sanifu ya kibiashara pamoja na mitaji, na ugumu wa maisha unaoambatana na kupanda kwa bei za kimaisha ni miongoni mwa mambo yanayowapelekea wanawake wengi kujihusisha na biashara ya ngono ikidhaniwa kuwa ni moja ya njia rahisi ya kujipatia kipato kinachoweza kukidhi mahitaji yao. Binafsi, nazani kampeni zinazofanywa na viongozi jijini Dar kwa lengo la kukomesha biashara hizi kwa kuwakamata na kuharibu maeneo yao ya kazi, haiwezi kuwa tiba ya moja kwa moja. Bali ni kuhakikisha utafiti wa kudumu unafanyika juu ya namna gani wanawake hawa wanaweza kusaidiwa. Kwanza ni kwa kuanza na tiba ya saikolojia itakayowajengea kujiamini kama wanajamii wengine na kuwatengenezea misingi ya fursa kwa kutoa mikopo itakayoambatana na masharti elekezi.
Daah wew itakuwa mgeni huwajui vizuri malaya waliokubuhu

Yani yule janeti aache kuuza k akauze supermarket aisee unacheza wewe...apo ujue umembadilishia platform tu ya kujiuza na usipokaa sawa yeye ndo anakuwa wa kwanza kukutongoza ww

rudi darasani bwana mtafiti
 
Watu wakwanza wanao weza kuhakikisha janga hili nakikombe hiki kinatuepuka ni [emoji117]WANUNUAJI
Hakuna biashara bila wateja.
Ila ieleweke kwamba kuuza mwili hii sio[emoji777] BIASHARA.
Hebu waza kwamba pussy zingekuwa siyo ishu kwa sisi wanaume kama ilivyo sasa unadhani mambo yangekuwa vipi kwa wanawake

Wangekuwa ni viumbe wanaopata tabu sana hapa duniani
Wanaume msalaba tulionao ni kuangaikia hapo tulipotoka na ndiyo maana wengi wetu maisha yetu ni magumu


Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Once malaya is always malaya,, hata ukimfungulia supermarket atauza k tu,,
Jirani hapa kuna madada wawili wana biashara yao ya kuuza madela na kadhalika(n.k).

Ukitaka na kadhalika, wana vyumba kabisa wamepanga, haihitaji kwenda nyumba za wasio wenyeji

Basi unachomoka na mmoja, wengine wanaendelea kuuza madela na vifaa vingine vya urembo
 
Kazi anayoifanya MTU yeyote ambayo sio halali huwa haina uhusiano na ugumu wa maisha.

Maana malaya wote hela zao huwa wanaziwekeza katika Mavazi ,starehe na kula na mwisho huwa hawabaki na kitu.


Swali je ? Unahisi hawa wanaojiuza huwa wamekosa nini

Hela ya kula
Hela ya mavazi
Hela ya starehe.

Jibu rasmi ni kuwa watu wanojiuza huongozwa na hulka ya kupenda cheapest money ili waweze kufanya staterehe n.k


Ugumu wa maisha upo Ila kujiuza ni hulka.
 
Duu wanaume wanauziwa kwani lazima kununua? Lakini wananunua kila siku.
 
Biashara ya ukahaba haina sababu za moja kwa moja,mana kuna wengine wanafanya kama hobbie.
Huo sio ukahaba.. huo umalaya! Umalaya unakuaga na hoja binafsi. Ukahaba unaanza kujajiwa ngazi ya jamii mana umefungamana na umaskini, uhaba wa fursa na ukosefu wa mitaji/ uhaba wa mikakat wezeshi kwa vijana
 
M
Jirani hapa kuna madada wawili wana biashara yao ya kuuza madela na kadhalika(n.k).

Ukitaka na kadhalika, wana vyumba kabisa wamepanga, haihitaji kwenda nyumba za wasio wenyeji

Basi unachomoka na mmoja, wengine wanaendelea kuuza madela na vifaa vingine vya urembo
Mtaa gan huo mkuu?
 
Kazi anayoifanya MTU yeyote ambayo sio halali huwa haina uhusiano na ugumu wa maisha.

Maana malaya wote hela zao huwa wanaziwekeza katika Mavazi ,starehe na kula na mwisho huwa hawabaki na kitu.


Swali je ? Unahisi hawa wanaojiuza huwa wamekosa nini

Hela ya kula
Hela ya mavazi
Hela ya starehe.

Jibu rasmi ni kuwa watu wanojiuza huongozwa na hulka ya kupenda cheapest money ili waweze kufanya staterehe n.k


Ugumu wa maisha upo Ila kujiuza ni hulka.
Unajua kuuza mwili kunaendNa na limited options katika maisha.. na ndio maskini ndio wahanga
 
Ni kupoteza muda kuipiga vita papuchi. Wstu wana mishahara yao na biashara za maana bado wanadanga.
Tuendelee kufundisha maadili ifanyike kwa staha tu.
Biashara inayokemewa sio umalaya wa kutembea na wanaume wengi kwa wakati mmoja. Biashara inayopingwa hapa ni kukaa barabaran na kuuza kitumbua
 
Back
Top Bottom