Biashara ya nguo kwa mtaji wa Tsh. milioni 1

Mkali hebu tutafutane..mimi nataka vinainai na skin jeans za maana na jamsuit
 
Huu uzi umenifungua pakubwa kwenye sekta ya biashara hii.

Mimi nipo mbali geita mjini huku nauli ya kutoka huku kuja dar ni 45000 kwenda Bado kurudi na matumizi mengineyo.

Kwa watu wa meoneoyaliyo zungukwa na vyuo na wapo katibu na dar hii idea imekaa poa. Mm nataman ila huku hamna hata chuo kimoja
 
Nilichosahau kwenye brouse na masweta kuna sehemu za kuangalia ukiidaka tu, angalia sana kwapani kusiwe kumepauka, angalia shingoni, angalia mikononi kusiwe kumelegea sana pia angalia upindo wa chini upoje

Kwenye skin jeans angalia kiunoni isiwe na kiuno kikuubwa, angalia kwenye msamba kusiwe na msamba mkubwa au uliochakaa, angalia zipu vizuri na angalia chini upindo usiwe umetanuka sana pia isiwe imepauka alafu pia angalia size ya skin zako kuna skin za kuvaliwa na watoto wa secondary, kuna skin za kuvaliwa na chuo ma wadada wakubwa wewe achana na wanafunzi nunua za wanachuo size inaluwa kubwa kiasi na somehow wanavaliana na wadada wakubwa......

alafu angaliaga na rangi isiwe imepauka kwenye skin

Kwenye vipochi kwanza kagua ndani vile vitambaa huwa vimeisha vingine hadi uzuri unapotea, angalia zipu vizuri, angalia mikanda ipo vozuri na angalia chini ya vipochi hata mabegi kama hakujapauka sana ndio ulipie

Pia jua rangi za nguo na rangi za mabegi na vipochi zinazopendwa na wadada.....rngi za nguo zisiwe uniue sana kama purple iwe general tu black, white kiasi, red yellow amd blue ziwe chache ukizunguka sana sio rahisi kukuta mrembo amependeza amevaa yellow japo wapo kwenye vishifon blouse sio mbaya

angalia zile mguo zenye rangi nyingi wewe chukua zinaoendwa sana hata kwa wanaume tshirt zenye rangi nyingi za kuchukua zinauza sana....
 
Mkuu usisubiri vyuo Geita inawageni wengi wengine wanatoka hukohuko Dar
 
Mkuu wewe hii kazi Ndio yako huko ulikoajiriwa unapoteza muda LOL
 
Hizo koti bei za jumla ni ngapi mkuu

Na viatu bei ya jumla havipo chini ya 2500??/nahitaj
 
Moja kati ya uzi bora kabisa JF, ngoja waje wakuu wenye uzoefu wakupe vision iliyotulia....
 
Watu hawajaja hapa kwa kuwa nawe si mchangiaji.
ID yako ya 2015 lakin unaonekana c wa kujichanganya.

Hata nyuzi zako zina wachangiaji wachache sana.

Tembelea nyuzi zinazohusu biashara.
Ulichoandika tayari kishajadiliwa sana.
Ivoo tenaa
 
very thanks brother... much respect. ahsante sana... umenipa mwanga angavu sana. Ubarikiwe sana.. [emoji1666][emoji1666]
Hana shida kaka, ukipata jeans au tshirt kali za mtumba ni sw ma za dukani hiyo ni kwa wkiume, wakike ukipata gauni, shiffon blouse, skin za kutosha unaweza koti frame kwa mil 1 na mzigp ukawa umejaa na chini unapanga visendo vya wadada wanavyonunua nguo na sendo wanachagua utafika mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…