Matanzia kizebazeba
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 654
- 630
khale ssebo
jaribu kutembelea maduka ya Kikuubo hapo kuna maduka mengi zana ya nguo pamoja na viatu lejaleja na jumla ni umuzi wako tu, maana kila ninapotembelea k'la huwa nakuta watzd kibao tu
karibu sana
Cjakuelewa
kale sebo maana yake sawa mzee......angalia mkuu ukitaka kupiga business vizuri uganda jua Luganda he he he he he yaani utapiga business kwa raha mustarehe na bei hawatakugonga
Sisi watanzania wapuuzi sana.Iweje landkocked Uganda iwe na cheap and quality imported products from China kutushinda sisi? Kuna walakini na mfumo wetu gandamizi unaowafanya wafanyabiashara kushindwa kuagiza nguo quality kupitia bandari ya dsm.