Matanzia kizebazeba
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 654
- 630
Wakuu habarini zenu,
Napenda sana biashara ya nguo, ipo tu damuni. Nimejarbu enda kutafuta nguo nchi Uganda mara kama tano hivi ila nimeona yale maduka na mimi sio mzoefu sana. Kampala msaada wakuu maduka mengine ya jumla pa kuyapata tofauti ya yale yanayopatikana Nakivubo pamoja na Miniprice, maduka ya nguo, viatu na mikoba wakuu..