Biashara ya nguo nchini uganda

Biashara ya nguo nchini uganda

Matanzia kizebazeba

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
654
Reaction score
630
Wakuu habarini zenu,

Napenda sana biashara ya nguo, ipo tu damuni. Nimejarbu enda kutafuta nguo nchi Uganda mara kama tano hivi ila nimeona yale maduka na mimi sio mzoefu sana. Kampala msaada wakuu maduka mengine ya jumla pa kuyapata tofauti ya yale yanayopatikana Nakivubo pamoja na Miniprice, maduka ya nguo, viatu na mikoba wakuu..
 
jaribu kutembelea maduka ya Kikuubo hapo kuna maduka mengi zana ya nguo pamoja na viatu lejaleja na jumla ni umuzi wako tu, maana kila ninapotembelea k'la huwa nakuta watzd kibao tu
karibu sana
 
jaribu kutembelea maduka ya Kikuubo hapo kuna maduka mengi zana ya nguo pamoja na viatu lejaleja na jumla ni umuzi wako tu, maana kila ninapotembelea k'la huwa nakuta watzd kibao tu
karibu sana

Asante sana mkuu
 
kale sebo maana yake sawa mzee......angalia mkuu ukitaka kupiga business vizuri uganda jua Luganda he he he he he yaani utapiga business kwa raha mustarehe na bei hawatakugonga

Asante wanajamvi nimekuelewa
 
Sisi watanzania wapuuzi sana.Iweje landkocked Uganda iwe na cheap and quality imported products from China kutushinda sisi? Kuna walakini na mfumo wetu gandamizi unaowafanya wafanyabiashara kushindwa kuagiza nguo quality kupitia bandari ya dsm.
 
Ni kweli na hyo ndio Tanzania yetu yani inatia hasira nimeenda uganda kama mara tano gar zote zimejaa watanZania kila mara nkienda na kurud Falcon ya dar kampala ukikuta kuna mtu tofauti na mtanzania ni wachache sana
 
Back
Top Bottom