Biashara ya nguo, viatu, mikoba na cosmetics kutoka Uganda

Biashara ya nguo, viatu, mikoba na cosmetics kutoka Uganda

Capital ya 5million inatosha kabisa kuleta mzigo wenye staha, cha msingi identify "the targeted market" kwenye business huwa tunaangalia sana market+consumers of u'r product & services, then epuka un necessary cost na ubahili uhusike sana, hapo utapata "returns on investment yenye tija"
 
Yap, nikweli wanaimport kutoka nje ila angalau wanaingiza vitu vyenye ubora kiasi, aisee!!!!! ukitaka kupoteza wateja chukua vitu vya kariakoo muuzie mteja, hakyamungu kesho hanunui kwako,. na vile vyenye ubora ni ghali mno kiasi kwamba mtz wa kawaida hawezi kununua eti mkoba kwa 50000-80000, wengi hununua kati ya 20000-35000 lakini haina ubora kabisa kabisa.

Nimekuelewa, ninachoona waTZ bado tuna uvivu fulani katika biashara. Inashangaza watu wanakwenda KE au UG kutafuta mitumba ya grade 1 ina maana hapa TZ hakuna au zipo ila bei ni kubwa?
 
tumalizie kushauli kwanza harafu tuendele na yetu..
 
Nimekuelewa, ninachoona waTZ bado tuna uvivu fulani katika biashara. Inashangaza watu wanakwenda KE au UG kutafuta mitumba ya grade 1 ina maana hapa TZ hakuna au zipo ila bei ni kubwa?

Mimi kuhusu hilo sijajua, maana mitumba sijawahi kuuza, japo naamini kuna uwezekano bei ya huku ni kubwa sana.
 
Nimekuelewa, ninachoona waTZ bado tuna uvivu fulani katika biashara. Inashangaza watu wanakwenda KE au UG kutafuta mitumba ya grade 1 ina maana hapa TZ hakuna au zipo ila bei ni kubwa?

Ingekuwa vizuri ukamuelekeza...hiyo Mitumba ya grade one hapa TZ inapatikana wapi. Na kunatofauti gani ya bei...
 
Nadhani kitu ambacho kinafanya Uganda kuwa na vitu bora kwa bei nafuu ni ushuru!serikali yao haina ushuru wa kukomoana kama hapa Tz wakijua ndio mara yako ya kwanza kuleta contena basi hasira yote ya migomo wanakumalizia ww!,kuhusu kila kitu ambacho kinazalishwa Tz kuwa ni feki huo ni ufinyu wa mawazo!,ukweli ni kwamba ukienda nchi kama Mozambique vitenge vya Tz ni ghali kuliko vitenge vya India!Ila kilio changu tu kipo kwenye ushuru wa serikali yetu isiyojali maisha ya wananchi wake!na Logoff
 
Kaka asante sana angalau umegusa topic...Targeted makert+consumers..nice point
 
sasa mtaji tu hujapata ushaanza Maswali, Tafta watu wanaoenda Uganda ukiwa tayari utaenda nao, tena wakati mwingine huitaji kuwatafta siku ukipanda tu gari basi ukiwa mcheshi utafamihana nao mkiwa njiani kabla hata yakuondoka kahama, japo ni risk.

milioni tani yako inatosha ukija ipeleka katika fedha ya kiganda utapata kama mil 7 ya uganda, japo purchasing power ya hii pesa yao si kubwa lakin hapo ndipo gape la faida kwa watu huwa inapatikana kufidia ma gape ya nauli na gharama za kuishi n.k

kichwa kimechoka naandika rough tu so unganisha idea. maduka mengi ya uganda unawezashindwa tofautisha kati ya yake ya jumla na rejareja ukienda hakikisha unapata muongozo mzuri, au guest utakayofikia kuna vijana hapo omba uende nae mjini akusaidie pia atakusaidia kama english haipandi wala kiganda, waganda wengi hawajui kiswahili kama tunavodhani

wanaongea english kiswahili wachache na wakubahatisha katika maduka, lakini kuna maneno maarufu sana ya kiganda lazima u opt mapema hata wafanya biashara wazoefu huyatumia kwa mfano namna ya kutamka elfu ishirini ni shida hata anaejua kiswahili utasikia anaitaja kiganda

taendelea next time. ila location ya maduka ya kila kitu yamejitenga. viatu tafta kwa wachina wholesale hukohuko uganda
 
Hiyo hela tosha sana tena siyo kuagiza uganda china kabisa hasa mikoba kwani utapata mikoba bomba.

Mfano ukiagiza mikoba 200 itakugharimu 3500000 mpaka ikufikie hapo ulipo kwa dar ambayo kila mkoba itakuwa imesimamia 17500 ambayo unaweza kuuza hito mikoba kwa 28,000-35,000 kwa bei ya jumla ili uagize tena usikae na mzigo ukiwa uko tayari ni tufabye biashara
 
Money Stunna alishaweka uzi wa biashara ya kuchukua bidhaa huko uganda, uko full kila kitu, utafute
 
Habari wana jamvi,naomba ushauri nataka kwenda uganda kuleta nguo za mitumba,pochi na viatu pamoja na vipodozi napenda kujua cha kufanya maana ndo nataka kuanza ikiwemo accomodation nikiwa uganda,je huku Tanzania nitaziuzaje,mtaji kwa mzigo wa kwanza uwe shingapi vip usafiri,Ushuru na TRA? Msaada plz.

Ikiwa utataka kuchange fedha zako au kutoa fedha kwa Mpesa basi Nakushauri uende Arua park sehemu inaitwa smart world.au ulizia kwa Dan
 
Ikiwa utataka kuchange fedha zako au kutoa fedha kwa Mpesa basi Nakushauri uende Arua park sehemu inaitwa smart world.au ulizia kwa Dan
nipo kwenye final stage nafungua account barclays nataraji kwenda ug mwezi wa 9
 
nipo kwenye final stage nafungua account barclays nataraji kwenda ug mwezi wa 9

Masai dada kutoa hela yako baclays ukiwa uganda wakati mwingine inazingua, jamaa yangu alichemka kutoa ikabidi ashindwe kufanya mitihani kwa kutegemea hela zake barclays, so chukua tahadhali
 
Masai dada kutoa hela yako baclays ukiwa uganda wakati mwingine inazingua, jamaa yangu alichemka kutoa ikabidi ashindwe kufanya mitihani kwa kutegemea hela zake barclays, so chukua tahadhali

We kama hazivuki mil 6 weka mfukoni chapa mwendo, mie nilibeba mil 4. Nilipofika kahama nikanunua soks ndefu kweli kama za wacheza mpira nikajaza huko, yan mpk naingia kampala iyo ndio ilikuwa bank
 
Back
Top Bottom