Yap, nikweli wanaimport kutoka nje ila angalau wanaingiza vitu vyenye ubora kiasi, aisee!!!!! ukitaka kupoteza wateja chukua vitu vya kariakoo muuzie mteja, hakyamungu kesho hanunui kwako,. na vile vyenye ubora ni ghali mno kiasi kwamba mtz wa kawaida hawezi kununua eti mkoba kwa 50000-80000, wengi hununua kati ya 20000-35000 lakini haina ubora kabisa kabisa.
Nimekuelewa, ninachoona waTZ bado tuna uvivu fulani katika biashara. Inashangaza watu wanakwenda KE au UG kutafuta mitumba ya grade 1 ina maana hapa TZ hakuna au zipo ila bei ni kubwa?
Nimekuelewa, ninachoona waTZ bado tuna uvivu fulani katika biashara. Inashangaza watu wanakwenda KE au UG kutafuta mitumba ya grade 1 ina maana hapa TZ hakuna au zipo ila bei ni kubwa?
Money Stunna alishaweka uzi wa biashara ya kuchukua bidhaa huko uganda, uko full kila kitu, utafute
Karibu
Habari wana jamvi,naomba ushauri nataka kwenda uganda kuleta nguo za mitumba,pochi na viatu pamoja na vipodozi napenda kujua cha kufanya maana ndo nataka kuanza ikiwemo accomodation nikiwa uganda,je huku Tanzania nitaziuzaje,mtaji kwa mzigo wa kwanza uwe shingapi vip usafiri,Ushuru na TRA? Msaada plz.
nipo kwenye final stage nafungua account barclays nataraji kwenda ug mwezi wa 9Ikiwa utataka kuchange fedha zako au kutoa fedha kwa Mpesa basi Nakushauri uende Arua park sehemu inaitwa smart world.au ulizia kwa Dan
nipo kwenye final stage nafungua account barclays nataraji kwenda ug mwezi wa 9
Masai dada kutoa hela yako baclays ukiwa uganda wakati mwingine inazingua, jamaa yangu alichemka kutoa ikabidi ashindwe kufanya mitihani kwa kutegemea hela zake barclays, so chukua tahadhali