Biashara ya Nguo za Mtumba: Ushauri na Muongozo wa Kuifanya kwa Mafanikio

Kaka naomba hiyo namba
 
Hi mamboz

Naomba kupata connection,na ujuzi kuhusiana na biashara hii ya nguo za mitumba.

Ni nguo gani rahisi kutoka kwa haraka,na naomba kupata connection za watu wanaouza kwa balo.
Ahsateni.
Ulipata connection au bado nikusanue.
 
Duh haya mambo mpaka leo Bado ni vilevile Kama 2010?? Hasa Uganda?
 
Sawa ila nguo hizo ndizo zinanunuliwa sana maeneo hayo, lakini nitalifanyia kazi wazo lako.
Pole sana ila inategemea unauza nguo Grade gani? kwa mfano mimi nauzia Mkoani ila nikifungua belo moja nina uhakika wa kupata faida kwa mfano nikifungua belo la Geade II la viblauzi/sket labda nimenunua 450,000 nina uhakika wa kuuza nikapata 900,000 hadi 1,000,000 kwahiyo hapo faida ni nusu kwa nusu. nikitoa gharama za usafiri ambayo ni kama 25,000 mpaka linifikie. Na silipiii frem nafungulia nyumbani nawajulisha watu kwenye magroup ya whattsapp wanakuja siku nafungua home. Zinazobaki mtu akihitaji nampa boda anampelekea kwenye begi kama ni Ofisini anachagua then anarudisha zilizobaki na kwa mkoa nilipo Ofisi zipo karibu karibu hivyo nauli ya Boda haizidi 1000. Zikibaki za mwisho kabisa napeleka mnadani naziuza kwa bei ya chini. Au frem unalipia bei kubwa sana?
 
Wakuu, ninahitaji mitumba kutoka DUBAI au uingerez ninaweze' kumpata
 
Nakushukuru sana kaka MUNGU akujalie zaidi
 
Naomba Connection ya kuagiza viatu vya mtumba vya watoto. viwe ni viatu vikali vya ngozi. China naona viatu vyao siyo vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…