Biashara ya Nguo za Mtumba: Ushauri na Muongozo wa Kuifanya kwa Mafanikio

Biashara ya Nguo za Mtumba: Ushauri na Muongozo wa Kuifanya kwa Mafanikio

Mku biashara ya nguo ili iweze kutoka inahitaji vitu vi (3)
1. Ubora wa nguo
2. Matangazo kwa wateja
3. Ufatiliaji na usimamizi mzuri wa biashara yako
 
Mku biashara ya nguo ili iweze kutoka inahitaji vitu vi (3)
1. Ubora wa nguo
2. Matangazo kwa wateja
3. Ufatiliaji na usimamizi mzuri wa biashara yako
Wakuu hivi hii biashara ikoje Kwa kipindi hki cha Corona hasa upatkanaj wa mzigo
 
Wakuu nawasalimu poleni na majukumu ya kila siku, mimi ni kijana umri miaka 22 nimekuja kwenu kuomba msaada wa mawazo juu ya biashara ya nguo za mtumba.

Pia kwa Mwanza , naweza kujua ni wapi linapatikana chimbo la hizo nguo za mitumba za grade nzuri.

Natanguliza shukrani zangu kwenu.[emoji1666][emoji120]
 
Hi mamboz

Naomba kupata connection,na ujuzi kuhusiana na biashara hii ya nguo za mitumba.

Ni nguo gani rahisi kutoka kwa haraka,na naomba kupata connection za watu wanaouza kwa balo.
Ahsateni.
 
kabla ujaanzisha uzi, jaribu hata kuangalia kama kuna uzi unafanania na wa kwako mkuu.
 
Jamani naomba kuuliza kuhusu biashara ya mitumba(nguo) inalipa kwa kiasi gani?
Inahitaji mtaji mkubwa?
 
Back
Top Bottom