Biashara ya Nguo za Mtumba: Ushauri na Muongozo wa Kuifanya kwa Mafanikio

Biashara ya Nguo za Mtumba: Ushauri na Muongozo wa Kuifanya kwa Mafanikio

unaweza pata zaidi ya 150pc lakini zenye kuvutia ni za kubahatisha.
Ahaa ok sawaa.

Mimi nilikuwa nina hamu sana ya kuuza nguo za mtumba za watoto miaka kuanzia mmoja mpka 7, ila sasa nmejaribu kuulizia watu ambao wanafanya biashara hiyo wanasema ukienda wanapofungua mizigo mipya huwa wanauza kuna nguo znabakia.

Sasa zile zilizobakia huwa wanaziweka stoo, sasa ukiuhitaji unaupata ule mzgo kwa bei poa sana, ila sijajua hili swala kama n kweli.

Wamezid kusema hata ukiwa na 120000 unapata mzgo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahaa ok sawaa.

Mimi nilikuwa nina hamu sana ya kuuza nguo za mtumba za watoto miaka kuanzia mmoja mpka 7,ila sasa nmejaribu kuulizia watu ambao wanafanya biashara hiyo wanasema ukienda wanapofungua mizigo mipya huwa wanauza kuna nguo znabakia.

Sasa zile zilizobakia huwa wanaziweka stoo, sasa ukiuhitaji unaupata ule mzgo kwa bei poa sana,ila sijajua hili swala kama n kwel.

Wamezd kusema hata ukiwa na 120000 unapata mzgo

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza kuuziwa zile ambazo haziuziki kwa faida wanaita maronyaronya n.k kwa kawaida hii biashara ni ngumu, na ugumu wake unakuja pale unaposhindwa kupata nguo nzuri ili uuze kwa bei ya juu ili urejeshe mtaji na upate faida.
 
Biashara ya nguo za mitumba kwa sasa imekuwa ngumu.Kuna zile nguo nzito za baridi zinauzwa kuanzia shs25000/ ila nguo nyepesi hasa nyakati hizi za joto{light babby au children} bei inaanza 320000/ kwa daraja la pil na 550000/ kwa daraja la kwanza
 
Kuuza kwa bei ya mia tano kunakuja natural pale unapotaka nguo zako ziishe. Kiuhalisia hakuna anayependa kuuza kwa bei hiyo.
 
Kuuza kwa bei ya mia tano kunakuja natural pale unapotaka nguo zako ziishe.kiuhalisia hakuna anayependa kuuza kwa bei hiyo.
 
Wakuu kupitia uzi huu tupeane maujanja ya kutupia nguo kali kali za mtumba ili iwe msaada hasa kwangu na yeyote mwenye nia ya kufanya hii biashara hasa kwa style ya kupoint nguo moja moja.

Kuna aina ya nguo za kike au za kiume unakuta zina trend sana au kupendwa sana lakini mimi nikawa sizijui. Suruali, mashati, sket, gauni n.k

Tusaiduane wakuu.
 
Nenda Insta kuna account za biashara za nguo utachek vizuri.
 
Back
Top Bottom