flulanga
JF-Expert Member
- Jul 1, 2016
- 4,860
- 6,390
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora umelileta hili, tupo wengi sanaaa. Mimi napata shida moja, kwamba eti siku hizi mitumba ya jumla haipo bongo, wahindi wamekimbilia Nairobi.Habarini wakuu,
Kwa wiki ya pili sasa nimekuwa nikitafuta taarifa kuhusu biashara hii hasa hasa ni nguo, bag, viatu, ila watu wengi wananiambia ukinunua balo huwa zinakata mtaji na ni vizur ununue nguo moja moja maeneo kama ilalana tandika kisha uje kuweka dukani,
Wakuu naomba kwa yeyote mzoefu wa buashara hii atupe mawili matatu, hata kama ulikuwa unafanya now umeacha, maana nimeuliza ile lobota grade A kg 45 wameniambia 370 000/ nami hii biashara ipo miongoni mwa biashara nazotaka kuzifanya kuanzia mwakani,
Mbona wapo wengi mkuu ww uko wapi, ukihitaji nikupeleke pale nitakupeleka.Bora umelileta hili, tupo wengi sanaaa. Mimi napata shida moja, kwamba eti siku hizi mitumba ya jumla haipo bongo, wahindi wamekimbilia Nairobi.
Hivyo, ndo nimeanza na niliagiza mzigo NBI.Kweli nimepata na ni mzuri.Nikiri tu, sijafanya juhudi zozote kujua mtumba wa jumla unauzwa wapi au na nani hapa bongo.Kama kuna mwenye kujua anisaidie tafadhali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nataka kuja PM nashindwa.ila nataka tuongee kwa mapana kuhusu biashara hii.Mbona wapo wengi mkuu ww uko wapi, ukihitaji nikupeleke pale nitakupeleka
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mimi sijui kwa kina ila huwa napenda kutafuta taarifa ya kitu kabla sijakiamza nafaham sehem nyingi wanazouza robotaNataka kuja pm nashindwa.ila nataka tuongee kwa mapana kuhusu biashara hii
Wengi wanaofanya hii ishu hawako JF.Hii biashara naipenda sana kila nikiileta au ikiletwa na MTU mwingine inapuuzwa sijui kwa nini
Mbona wapo wengi mkuu ww uko wapi, ukihitaji nikupeleke pale nitakupeleka
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna hiyo kitu me nakupeleka unaongea na wahusika unabeba mzigo, me nilifika had ofisini kwao.Hah! Kumbe si suala la kusema nenda sehemu X,au waone Y na Z pale sehemu W?
Mkuu unavyozungumzia mzigo kutoka nje, unazungumzia contena na mtaji si chini ya mamilioni ya pesa, mtumba ni bahati nasibu wapo wanaopata hasara na faida, ushauri usiagize mzigo mara ya kwanza utagombana na uliyemwagiza, bei ziko tofauti na inategemea na duka, maduka mengi ya mtumba ni kariakoo mnazimmojaWadau naomba msaada juu ya mitumba ya kike grade 1 mizuri ambayo ni pochi nguo za kike aina zote na viatu vya mitumba vya kike jinsi ya kuagiza mzigo kutoka nje au maduka ya jumla hapa dar wanayo uza mitumba grade 1 tajwa apo juu kwa marobota bila kufanya uhuni wa Ku mix au jinsi ya kuagiza mzigo mzuri msaada Tafadhari na kwa mchanganuo wa bei kwenye nguo ni nguo za kike aina zote
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana mkuuMkuu unavyozungumzia mzigo kutoka nje, unazungumzia contena na mtaji si chini ya mamilioni ya pesa, mtumba ni bahati nasibu wapo wanaopata hasara na faida, ushauri usiagize mzigo mara ya kwanza utagombana na uliyemwagiza, bei ziko tofauti na inategemea na duka, maduka mengi ya mtumba ni kariakoo mnazimmoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa sawa kakaUnaweza kutafuta uzi wa biashara za kampala, nimesikia Uganda kuna maduka mazuri