Biashara ya Nguo za Mtumba: Ushauri na Muongozo wa Kuifanya kwa Mafanikio

Biashara ya Nguo za Mtumba: Ushauri na Muongozo wa Kuifanya kwa Mafanikio

Chupi za watoto, Jinsi, Vitambaa na tauoaama zipi? Mkuu mie niliwahi fuatilia watu wakaniambia ukitaka kukata unapaswa uwe na hela ya kununua zaidi ya robota moja, yani ue na mawili ama matatu ili moja likizingua lapili likurudishie mtaji,.
 
Habarini wakuu,

Kwa wiki ya pili sasa nimekuwa nikitafuta taarifa kuhusu biashara hii hasa hasa ni nguo, bag, viatu, ila watu wengi wananiambia ukinunua balo huwa zinakata mtaji na ni vizur ununue nguo moja moja maeneo kama ilalana tandika kisha uje kuweka dukani,

Wakuu naomba kwa yeyote mzoefu wa buashara hii atupe mawili matatu, hata kama ulikuwa unafanya now umeacha, maana nimeuliza ile lobota grade A kg 45 wameniambia 370 000/ nami hii biashara ipo miongoni mwa biashara nazotaka kuzifanya kuanzia mwakani,
Bora umelileta hili, tupo wengi sanaaa. Mimi napata shida moja, kwamba eti siku hizi mitumba ya jumla haipo bongo, wahindi wamekimbilia Nairobi.

Hivyo, ndo nimeanza na niliagiza mzigo NBI.Kweli nimepata na ni mzuri.Nikiri tu, sijafanya juhudi zozote kujua mtumba wa jumla unauzwa wapi au na nani hapa bongo.Kama kuna mwenye kujua anisaidie tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli Kama Una mpango wa kununua nguo za mtumba kuweka dukani ukinunua kwa robota mtaji unakata nini cha kufanya?

Ingia ilala asubuhi Sana ikibidi kabla ya saa 12 asubuhi uwe ushafika utakutana na mapointa wenzio mabalo yanakatwa hapo utachagua nguo pamoja na viatu kulingana na quality unayotaka, utakuta top Kali bei kuanzia 1500, kwa wale wauzaji wa mitaani wanaouza ronyaronya kuna nguo zinauzwa mpaka 500.

Handbag za mtumba pia zinapatikana ilala na karume jitahdi ufike asubuhi Sana wakiwa wanafungua

Tandika Mtaa wa masoko zinaptikina handbag lakini kwa mfumo wa mnada inabidi uwe mjanja kidogo wa minada Ila handbag zinapatika hapo wanaanza SAA mbili mpk nne nanusu asubuhi wamemaliza.
 
Bora umelileta hili, tupo wengi sanaaa. Mimi napata shida moja, kwamba eti siku hizi mitumba ya jumla haipo bongo, wahindi wamekimbilia Nairobi.

Hivyo, ndo nimeanza na niliagiza mzigo NBI.Kweli nimepata na ni mzuri.Nikiri tu, sijafanya juhudi zozote kujua mtumba wa jumla unauzwa wapi au na nani hapa bongo.Kama kuna mwenye kujua anisaidie tafadhali.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona wapo wengi mkuu ww uko wapi, ukihitaji nikupeleke pale nitakupeleka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu kwa wale waliopo dar robota zipo nyingi maeneo ya mnazi mmoja na posta yani wauzaji ni wengi sana ni uwezo wako wa kufika pale na kutafuta duka uonalo ni zuri na kulingana na mizigo utakayo, atakaehitaji msaada wa kufika kwenye maduka hayo ninaweza msaidia ka anahisi hatoweza fika.
 
Wadau naomba msaada juu ya mitumba ya kike grade 1 mizuri ambayo ni pochi nguo za kike aina zote na viatu vya mitumba vya kike jinsi ya kuagiza mzigo kutoka nje au maduka ya jumla hapa dar wanayo uza mitumba grade 1 tajwa apo juu kwa marobota bila kufanya uhuni wa Ku mix au jinsi ya kuagiza mzigo mzuri msaada Tafadhari na kwa mchanganuo wa bei kwenye nguo ni nguo za kike aina zote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau naomba msaada juu ya mitumba ya kike grade 1 mizuri ambayo ni pochi nguo za kike aina zote na viatu vya mitumba vya kike jinsi ya kuagiza mzigo kutoka nje au maduka ya jumla hapa dar wanayo uza mitumba grade 1 tajwa apo juu kwa marobota bila kufanya uhuni wa Ku mix au jinsi ya kuagiza mzigo mzuri msaada Tafadhari na kwa mchanganuo wa bei kwenye nguo ni nguo za kike aina zote

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unavyozungumzia mzigo kutoka nje, unazungumzia contena na mtaji si chini ya mamilioni ya pesa, mtumba ni bahati nasibu wapo wanaopata hasara na faida, ushauri usiagize mzigo mara ya kwanza utagombana na uliyemwagiza, bei ziko tofauti na inategemea na duka, maduka mengi ya mtumba ni kariakoo mnazimmoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unavyozungumzia mzigo kutoka nje, unazungumzia contena na mtaji si chini ya mamilioni ya pesa, mtumba ni bahati nasibu wapo wanaopata hasara na faida, ushauri usiagize mzigo mara ya kwanza utagombana na uliyemwagiza, bei ziko tofauti na inategemea na duka, maduka mengi ya mtumba ni kariakoo mnazimmoja

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom