Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yah ni kweli..nataka niwe namuweka mtuKama wew ni mwanaume usitegemee kukaa dukani wewe..utapishana na wateja wengi sana zaidi utapata wale wadada waliokubuhu...
Wanawake wanakua comfortable kununua wakikuta anaeuza vyupi ni mwanamke mwenzao..
wakuu hii kitu inaonekana ni nzuri pia huku mitaani sijapata kuona maduka mengi ambayo yako special kwa ajili ya kuuza under wear
Wajuvi wa biashara humu JF watuwekee mchanganuo wa hii. unahitaji mtaji kiasi gani, chupi zinanunuliwa wapi kwa bei gani na huku mitaani zinauzwa kwa bei gani
Mkeo ana wito wa biashara? Usije poteza pesa yako na kuishia kugombana na nkeoNi biashara Ninayo tegemea kumfungulia mke wangu mapema mwaka huu
Nita furahi pia kupata mawili matatu hapa kweny uzi wako kupitia wachangiaji wazoefu wa hii biashara
Hii biashara ni nzuri sana kama eneo unapotaka kuweka kuna biashara pia ni biashara yenye faida ndogo sana lakn kama unaweza kuuza chupi kuanzia dozen tano na kuendelea unapiga ela mm nafanya biashara hii ni mwaka sasa lakn nilipo ni sehem ambyo haina mzunguko kivile lakn napambana sana, aliye na swali wapi pa kupata kwa jumla na biashara hii kwa ujumla karibu ntawaelekeza
Kuhusu mtaji inafutana na mahli ulipo kuna watu wanaanza na mtaji ata wa laki lkn mtu anapiga ela unaweza kwenda kkoo na lak moja ukaja na chupi kibao au kidogo kitu cha kwanza unachotakiwa kujua ni lazma ujue unafungua biashara sehemu yenye watu wa aina gani maana kuna chupi za kila aina kuna zenye quality na za kawaida, inabidi kwanza usome watu wa mahali pale alaf ndo uanze biasharaneysima Aisee Hongera kwa kujua shida ilipo
Unaposena Dozen 5 ina maana ni Chupi 60 kwa siku Aisee mbona mtihani.
Au hapo unakuwa unauza Jumla??
Mtaji kiasi gani uliweka wakati unaanza?
Ukishauza hizo Dozen tano ndio unapiga Hela kama kiasi gani hivi
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina uzoefu na hii biashara kwa kiasi fulani. Reja reja dzn 5 zisikutishe mkuu, kumbuka hakuna anayeenda dukani kununua chupi 1. Wengi ni 2, 3 na zaidi. Kama eneo lina mzunguko ukipata wateja 20 kwa siku basi dzn 5 unamaliza.neysima Aisee Hongera kwa kujua shida ilipo
Unaposena Dozen 5 ina maana ni Chupi 60 kwa siku Aisee mbona mtihani.
Au hapo unakuwa unauza Jumla??
Mtaji kiasi gani uliweka wakati unaanza?
Ukishauza hizo Dozen tano ndio unapiga Hela kama kiasi gani hivi
Sent using Jamii Forums mobile app
Yuko vizur kweny biasharaNkeo ana wito wa biashara? usije poteza pesa yako na kuishia kugombana na nkeo
Biashara hii inalipa Ni kupambana tu na ukiamua kufungua Jitahidi ukae mwenyewe hizo Biashara za kusema ukikaa mwanaume hawanunui ujue huyo hana shida ya kununua Chupi lakini mwenye Uhitaji ananunua na anakuomba ushauri kabisa hii nzuri?
Kuhusu mtaji ni wewe unajishape kwenye quality ipi Ya chupi but kama utaki showoff changanya quality Mimi hiyo imenisogeza Sana kuna wakati anaingia Mtu anataka chupi Ya 3000 huna unakosa pesa
lakini ipo siku Chupi uliyoinunua 1200 ukaiubiza 5000 na mtu akaridhika kabisa
Duh wengine Sio wazuri wa kuandika KILA LA KHERI 2020 Tuzisake pesa Jamani