Biashara ya Night Club Dar imekufa?

Sahihi
 
Mkuu mambo ya kubambia tumewaachia Dungadunga wazee wa charge

Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
 
Binafsi kizazi cha sasa naona kama haki-enjoy kabisa. Watu wanakaa tu pub wanatandaza beers na pombe kali nyiiiingi, no dancing ni kutikisa vichwa tu na kushikashika warembo.

What a lazy life!?

Kipindi hicho unakula bia mtaani ikifika saa sita mnahamia club huko hata ukitaka kuongea labda upaza sauti maana ni sound la kufa mtu, mwendo wa ku-dance.

The only time muziki unasimama labda kuwe na show baaas. Zaidi ya hapo ni kucheza.

Sifa kuu za night club
1. Ni indoor
2. Privacy ya kutosha, kulikuwa hadi na VIP rooms
3. Well sound proofed
4. Dance floor ya maana
5. Nyimbo mchanganyiko....inafikia mahali mnajua kabisa kuwa muda flani ni muda wa bongo fleva na dj fulani ndio anapiga, muda fulani ni oldies na mnajua mkali wa oldies ni nani ukicheck kwa dj chamber unakuta kweli ni yeye.

No talks ni muziki kwa kwenda mbele.

Siku hizi sioni kama kuna starehe. Watu wamejikita kwenye mashindano ya kunywa na kupost kwenye oage zao.
 
Hakuna kitu sipendi kama Kila sehemu ni Amapiano utadhani hakuna music genre zingine
 

View: https://youtu.be/l4UkYBr1NnA?si=qEBKAB7VnUDtSTf7
 
Kila kitu kimekua biashara,watu hawachezi na wako radhi kulipa overpriced drinks kwenye meza coz furaha yao wanaipata kwenye kupost na kuonesha watu wengine(mostly strangers kua wanakula bata).
This... Aisee.. Wabongo hatujui kula raha.. Ila tunajua kuwaumiza watu roho kwamba tunakula raha..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…