Bulamba
JF-Expert Member
- Sep 17, 2011
- 13,741
- 13,049
Ngoja nitaendea kufanya ziara nipahakikiIlipokuwa kona bar hapo sinza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja nitaendea kufanya ziara nipahakikiIlipokuwa kona bar hapo sinza
Nasikia ni pazuri sijawahi kuingia hapo. Ila panasifika.Ngoja nitaendea kufanya ziara nipahakiki
Hii biashara ya liquor store naona imepamba moto sasa hv kila konaView attachment 2933672
Hapo kwa Mchina ndiyo hamna kitu kabisa nimepita muda huu 😀
Kuna muda huwa nahamia pale pembeni PR CAMP, wahudumu wako fasta sana wanajali mteja hasa yule wa kiume.Lascarinyo bila shaka ulikutana na watu ndio wanaondoka... wanaondokaga saa 1 pale asubuhi
HahahahahaRaha saana
Usijisumbue sana mkuu, siku hizi kumepoaaa!Ngoja nitaendea kufanya ziara nipahakiki
Siasa za Awamu ya Tano na RC wa zamani.....nani angeenda Night Club?Habari wakuu,
Naona siku hizi zile Night Clubs ndani ya jiji la Dar es salaam hazipo tena zimefunikwa/replaced na Bar kubwa kubwa.
Mfano hapo nyuma palikuwa na club za mziki mbalimbali mfano Billcanas, Maisha basement, Ambiance n.k Lakini siku hizi zile Nights club zimevunjwa na kugeuzwa Lounge,Casinos au bar.
Siku hizi hata ukitaka kuingia club kwa ajili ya kucheza mziki, utahangaika sana tofauti za hapo nyuma kidogo badala yake utaishia kukaa kwenye bar, lounge kubwa kubwa kama vibez lounge, BM Lounge n.k ambazo si club bali ni bar zenye open space kwa ajili ya kukaa na kunywa pekee mziki upo lakini hauna privacy kama club.
Afrika hatuna shida ya populationsi mmeambiwa maisha yamekuwa magumu kutokana na kuzaa sana licha ya uchumi kuongezeka?
Nafikiri zote ulizotaja zipo tofauti na anazomaanisha, kwa mfano samaki samaki au element ni yofauti na bilcanas au club maisha jinsi zinavyo operate, hazina dance floor, hazina music special wa ku dance badala yake kuna music .changanyiko hasa wa kusikiliza huku wahudhuliaji karibia wote wakiwa wamekaa na kunywa badala ya ku dance.ELEMENT masaki, WARE HOUSE masaki, SAMAKI SAMAKI masaki, 124 masaki, wavuvi camp kidimbwi nk
Mbona hutaji majina ya hizo night clubs?Tembea mkubwa night club choice dar tu ziko nyingi saaaana. Yaani night club ni biashara ya pesa kuliko hizo open bar zenu za kitambaa.
Sasa sijajua umeangalia wingi kwa level ipi. Maana bar hizo ni chache sana zinazo perform kushinda night clubs.
Pitia masaki ujifunze.
Watoto ndio watakua muda wote wanataja taja, yaani baada ufatilie thread huko juu. Unataka muda wote nitaje tu. Pamda juu huko angaliaMbona hutaji majina ya hizo night clubs?
Dah imekula kwetuUsijisumbue sana mkuu, siku hizi kumepoaaa!
Mkuu wewe ni kama mimi. Nilijitengenezea utaratibu wa kwenda kusikiliza miziki mizuri kila ijumaa ila kwa sik hizi imekuwa changamoto.Nyakati zinaenda mbio..
Sehem nyingi hawajui kupiga MZIKI mzuri..
Sehem nyingi zina watu wanyasa wanyasa (Ukipiga nyimbo nzuri hawana vibe nazo maana hawazijui).
Mie napenda mziki mzuri.. ndio starehe yangu.
Nimeamua kutengeneza Mini-Bar hapa kwangu seblen kwa pembeni kdg, nikiw Off kazini basi nakaa ktk ki-bar changu nafungulia mziki taratiib napunguza chupa.. bila bughza na mtoto wa mtu..
Nikitaka NYAMA naingia Telegram napoint minofu yangu nakuja kujilia ndani.
Mwezi mtukufu hauhusiki hapo, ila kiti moto mauzo yatapunguaHazijafungwa. Subiri mwezi mtukufu uishe ndo utajua bado zipo au hazipo.
Mwezi mtukufu hauhusiki hapo, ila kiti moto mauzo yatapungua
Siku hizi hakuna wapigaji wa mziki mzr kingine wale host/Dj's almost wote hapa TZ wanaigana Kuongea.. hakuna ubunifu.Mkuu wewe ni kama mimi. Nilijitengenezea utaratibu wa kwenda kusikiliza miziki mizuri kila ijumaa ila kwa sik hizi imekuwa changamoto.
Enzi za Kikwete tuli enjoy sana
Na ndicho kilichonikimbiza mimi. Yaani kuingia tu mashoga kibao halafu wanachukuliana poa tu na masharobaro wa mule plus wahuni. Sasa mimi hata nilivyovaa nikaona hapa nimepotea njia, nikanywa safari 2 nikatembea.