RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Vijana wengi wa sasa wamekua kipindi clubs zishakufa. Enzi zetu unatoka Bils, unaenda Mambo club (Maisha club) mara unaenda Casanova ukishtuka saa moja asubuhi hujarudi home!Hayo mabaa ndiyo yamezidi! Tunazungumzia Night club! Sehemu yenye privacy ya kucheza mziki!