Biashara ya Night Club Dar imekufa?

Biashara ya Night Club Dar imekufa?

Tembea mkubwa night club choice dar tu ziko nyingi saaaana. Yaani night club ni biashara ya pesa kuliko hizo open bar zenu za kitambaa.
Sasa sijajua umeangalia wingi kwa level ipi. Maana bar hizo ni chache sana zinazo perform kushinda night clubs.
Pitia masaki ujifunze.
Kuna clubs zipi sasa hivi? Najua moja imefunguliwa hapo Kona bar nasikia ni nzuri sana sijawahi kufika na nimesahau jina lake.
 
Pana laana hapo. Napita saa nne asubuhi kwenda kijiweni kwangu unakuta wanawake waliolewa wamevaa kihasara ndio kwaaanza wanatoka kuvuta sigara hapo nje!
Ndio hapo niliingia, bia bei ya kawaida tu 2500 ila nikaona wahuni na wengine hawaeleweki eleweki hata mavazi mara wengine wakabane roba!

Nikachukua boda inirudishe las carinyo.
Bodaboda wa las carinyo akanikumbuka wakati nashuka akasema bro viph mbona umegeuka hujapaelewa kwa mchina?
Nikasema nimeona wanywaji wengi hatuendani, nimekunywa 2 tu.
 
Ndio hapo niliingia bia bei ya kawaida 2500 ila nikaona wahuni na wengine hawaeleweki eleweki hata mavazi mara wengine wakacne roba! Nikachukua boda inirudishe las carinyo.
Boda wa las carinyo akanikumbuka wakati nashuka akasema bro viph mbona umegeuka hujapaelewa kwa mchina?
Nikasema nimeona wanywaji wengi hatuendani, nimekunywa 2 tu.
Nikiwaona tu kwa nje wamepinda wote.
 
Back
Top Bottom