Biashara ya Night Club Dar imekufa?

Biashara ya Night Club Dar imekufa?

Uholela wa biashara bila vibali. Bar na pubs zinatakiwa kufungwa saa sita usiku. Then club zinakesha. Watu wakitoka bar wanaingia club mpaka asubuhi.
Sasa bar,pub,liquor stores zote zinakesha nani ataenda club?
Hata ndio matokeo ya kutosimamia sheria ndio maana hata mitaani watu hawalali kisa bar inapiga muziki hadi asubuhi.
Kama kule Moshono Arusha yaani The Place anapiga muziki kama ugomvi, hakuna kulala.
 
Back
Top Bottom