Biashara ya Night Club Dar imekufa?

Biashara ya Night Club Dar imekufa?

Balaa aisee mimi napenda sana mziki mzuri nimemiss club kunazimwa taa inabaki moja niliwahi cheza mziki mpaka walinipigia makofi wadau
Hahaaaaa kumbe ndio wewe ulikiwa unayakata mauno na kutikosa makalio siku ile? Unayajua sana mauno mkuu, ulikuwa unakata kama feni huku unatiksa mkia na umeweka bia juu ya tako. 😀😃😄😁😆😅🤣
 
Time really flies aisee. Miaka Ile Bills, Mambo Club hatari na nusu. Sio kwamba hizi open bar hazikuwepo. Weekend imefika jioni unajongea Jolly pale au Qbar unaanza mdogo mdogo moja moja hadi saa 6 unazama bills hadi alfajiri. Dah maisha yake hawawezi kujirudia. Watu wastaarabu wanajua muziki mzuri. Enzi hizo ukitaka oldies unazama Blue Palms unakula oldies balaa hadi kiu inakata unasuuzika moyo kabisa.
Sio sasa hivi ujinga mtupu, open bar lounge ni amapiano tu. Yan unaweza kukaa masaa 5 hujasikia oldies hata moja ni maujinga ya amapiano tu watu wako kama kuku anakata roho ndo styles za kucheza eti.
Wewe ni mzee?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom