Mjomba Nchumari
Member
- Jul 30, 2022
- 17
- 19
- Thread starter
- #21
Ndiyo nini?Palenga nfane kale nano!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo nini?Palenga nfane kale nano!!
Black sniper msaidie mdogo etu kwa chochoteUtaanzia kazi home ama
Usilolijua ni usiku wa gizaPambana ndugu yangu...ila kiukweli YouTube hii hii ya bure kukulipa ni ngumu sana...nyuma ya YouTube Kuna YouTube nyingine...kupitia hiyo YouTube nyingine unaweza kupata pesa...ila kikubwa online channel nyingi Huwa ni kwaajili ya matangazo ya wafanya biashara let's say MO... Afungue online channel hapo hiyo channel haitomuingizia kitu Zaidi ya kupush biashara zake zizidi kufahamika... Platform za online ukiweka malengo kuwa zikuingizie pesa utakwama...tengeneza biashara Kisha tumia hizo platforms kutangazia biashara zako... Hapa Tz hakuna anae ingiza pesa eti Kwa kuapload video YouTube na YouTube wamlipe...hao YouTube wenyewe wanataka pesa