Biashara ya Online Media: Natafuta Patner

Biashara ya Online Media: Natafuta Patner

Hongera kwa hatua kijana, Mungu akusimamie.
 
Pambana ndugu yangu...ila kiukweli YouTube hii hii ya bure kukulipa ni ngumu sana...nyuma ya YouTube Kuna YouTube nyingine...kupitia hiyo YouTube nyingine unaweza kupata pesa...ila kikubwa online channel nyingi Huwa ni kwaajili ya matangazo ya wafanya biashara let's say MO... Afungue online channel hapo hiyo channel haitomuingizia kitu Zaidi ya kupush biashara zake zizidi kufahamika... Platform za online ukiweka malengo kuwa zikuingizie pesa utakwama...tengeneza biashara Kisha tumia hizo platforms kutangazia biashara zako... Hapa Tz hakuna anae ingiza pesa eti Kwa kuapload video YouTube na YouTube wamlipe...hao YouTube wenyewe wanataka pesa
Usilolijua ni usiku wa giza
 
Back
Top Bottom