mwambojoke
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 1,084
- 647
tunakupataje, wekan namba unishauri jambo hapa.Njo PM tuongee hizo ndo kazi zetu kufanyia watu consultation kwenye eneo la pharmaceutical, kwa wanaohitaji kufungua pharmacy,kusajili dawa, vifaa tiba, vipodozi, supplements tukusaidie.