Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye Film no one does that anymore imepitwa na wakati kwahio achana nayo..., cha maana ni kuangalia wewe upo wapi kwenye location yako na kama kuna any big studios karibu yako, kama hakuna basi unaweza tu ukawa na a good inkjet photo printer ukaanza nayo wakati bado unakuza mtaji na ukipata kazi kubwa unapeleka kwenye studios kubwa mjini na wewe unakula commission (unaongeza kidogo kafaida)Wadau nampango wa kufungua kastudio kadogo kwaajili ya kusafisha picha za digital na film, je ni vifaa gani natakiwa kuwa navya na wapi ntavipata. Asanteni
Binafsi sijui ila nadhani unaweza kupata used kwa bei nafuu ingawa nayo itakuwa bado kubwa.., nimegoogle nimeona hapa ipo around 17,000 usd The Spectrum Minilab Store - Fuji Dry LabsPrinter aina ya Frontier DL 600 fuji inauzwa bei gani
Mkuu sio kweli kama unajua faida ya kitu (mfano kuku akiwa hai bei ni x) na unajua akipikwa anakuwa 2x hauitaji kujua jinsi ya kumpika au anapikwa vipi, iwapo unatatufa wapishi wa kumpika kwa bei nafuu ambayo bado utapata faida.Nyongeza; usifanye biashara ambayo wewe binafsi huna utaalam nayo. Unajua software zipi za kudevelop / edit picha?
Kitu ambacho hakina malipo TRA ni Computer System kwahio hata ukileta vifaa vya computer unalipia ushuru au ukileta printer peke yake unalipia ushuru ila ukileta computer na printer pamoja unaweza ukasema hii ni system nzima kwahio usilipe ushuru...Hata hivyo mambo ya picture editing siko nyuma sana. Swali langu, hivi nikiagiza hiyo printer Ebay kunamalipo yoyote TRA
Mkuu sio kweli kama unajua faida ya kitu (mfano kuku akiwa hai bei ni x) na unajua akipikwa anakuwa 2x hauitaji kujua jinsi ya kumpika au anapikwa vipi, iwapo unatatufa wapishi wa kumpika kwa bei nafuu ambayo bado utapata faida.
You don't have to be an expert on something to profit from it..., so long as you have experts doing that something...
Kwahio jamaa kama kweli amefanya research ameona soko lipo basi haitaji yeye mwenyewe kukaa kwenye hio shop sababu editing kwanza mara nyingi anafanya mteja na developing (ni enzi zile sasa hivi digital mambo ya developing sio kama enzi za mikanda)
Mkuu kusoma na kufanya au kuelewa jinsi ya kufanya wapi na wapi..., kwahio bila kusoma masomo ya ujasiliamali huwezi kuwa mjasiliamali ?Nafikiri hujasoma masomo ya ujasiliamali ndo maana unasema sio kweli.