Biashara ya Restaurant inalipa?

Biashara ya Restaurant inalipa?

Bak byzo I.T

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2014
Posts
266
Reaction score
125
Nataka fungua biashara ya restaurant lakini nataka muweka mtu ndo awe manager wa pale wakati huohuo awe ni mfanyakazi.

Biashara itauza vyakula

1. Asubuhi vitafunwa aina zote na chai/maziwa

2. Mchana milo takriban 4 au 5

3. Usiku Milo mitatu pamoja na chips

4. Vinywaji vya aina zote

Naombeni ushari kulingana na maswali ninayo jiuliza.

1.5mil itatosha?

2. Business locatio (mimi mkazi wa dsm,mbagala)

3. Who is manager (specifications of manager)?

4. Number of workers?

5. Business monitoring method?

6. Daily collection amount

Nisaidieni mawazo yenu.
 
5m inaweza ikatosha au isitoshe.
Hapo hujaweka Pango la sehem ya Biashara.
Na mbaya zaidi,frames nyingi zimejengwa kwa matumizi ya maduka,sasa ku i convert kuwa mgahawa huwa kuna hitaji pesa kiasi.
Kuhusu income ya kila siku hakuna hatam mmoja humu atakuambia,maana hilo sio daladala wala bodaboda.Na pia natia hofu kwamba ni mgeni sana wa biashara nyingi.
Hiyo hiyo mbagala kwa niijuavyo mie ni kwamba kila mgahawa unahesabu yake ya siku,haifanani hata mara moja.Kupata faida inategemea factors nyingi sana,ila muhim ni bei,na ubora wa chakula na staff wazuri.

Mie binafsi kwa ushindani ulivyo kwa sasa,at least niwe na 10- 15m,ili niweze kuanza kwenye scale nzuri.
Ila kiswazi haya 2m inatosha kabisaaa
 
Asante mzee wa spices
Kwa haraka haraka unazani endapo nitamuweka mtu as a manager ataweza nipa pesa ipatikanayo kialali ata kama itakuwa nyingi zaid?

Au nikimuweka ndugu itakuwaje?
Najaribu kutathimini uaminifu wa mapato ya pesa.

Na je ni wapi panafaa kwa biashara niifikiriayo na haito niwia ugumu wa kuisimamia kulingana na mazingira ninayo ishi?
 
Suala la kukupa pesa kiuhalisia ni siri na uaminifu wa mtu.Kwanza unapotaka kumpa mtu weka imani kwake.
Maana anaweza kuwa mkweli ila kwa vile umejenga hofu ukaona unaibiwa,na ndio maana kuna sehem unakuta mtu anabadilisha watu kibaoo kwa kuona anaibiwa kumbe sio kweli,maana sometimes chanzo ni matajiri wenyewe.

Suala la ndugu siku hizi sio issue saaana,maana Jiji la Dar kwa sasa unaweza ukakuta hata baba yako mzazi anakupiga changa la macho,aiseee.
Muhim ni kumtafuta mtu muaminifu na wapo,maana hata kama kukupiga basi haanzi mwanzo.Na wapo wengine sio waaminifu ila wanahakikisha kwamba biashara inaenda vizuri,na ndio maana kuna sehem za biashara kuna watu wanaiba mpaka basi ila tajiri hawafukuzi licha ya kwamba anajua wanamubia,kwakuwa anaona jinis wanavyofanya juhudi ya kuhakikisha biashara inakuwa kwa ufanisi mkubwa tofauti na wale wanaopiga dili na kuzembea.

Mji unakuwa,kusema wapi panafaa kwa biashara in general ni suala gum saaaana.

Ushauri mwingine:-
Ajiri msimamizi wa kike,wanawake wapo makini saaana,ni bora uibiwe na mwaname kuliko mwanaume.
Madada kwanza kwenye kazi hizi wapo vizuri saaana,na pia waoga saana,na ni wawazi saana.
Unaweza kwenda pale VETA Chang`ombe kuna kitengo cha watu wanaosomea mapishi upande wa ujasiriamali.Unaenda kutafuta aliepo mwaka wa mwisho kisha unashare mawazo na kumpa ajira.
Maana wengi pale wanaenda kusoma ila uhakika wa ajira hawana,sasa unaweza kuitumia hii fursa na ukafanikiwa vizuri.Siku hizi biashara ni taaluma,sio kila mtu anaweza kusimamia mgahawa,maana hata wewe mwenyewe unaweza ukakushinda.
Sio kama zamani,mtu yoyote tu anasimamia ,ila siku hizi hadi mamalishe wapo vizuri tu kwenye visemian vyao vya biashara.
 
very credible advice ..... Zanzibar Spices

Nitakutafuta kwa ajili ya ushauri on a very similar situation
 
Last edited by a moderator:

Sipati picha wewe ni mbora kiasi gani!!!
Nimependa ushauri wako ni wakipekee na kisomi zaidi👍🏾
 
Jamaa yuko vizuri mkuu ila hata mm npo kwenye hiyo catering waweza nipa hiyo nafas kama gm tukapiga kazi watu wapo ila hiyo 5m c ndogo ila vifaa vya vinagarama sana kama utatumia gas au umeme Brenda ,ovena catiralies nk vinakula pesa nying kweli nitafute tuongee 0766090956
 
Nataka fungua biashara ya restaurant lakini nataka muweka mtu ndo awe manager wa pale wakati huohuo awe ni mfanyakazi.

Biashara itauza vyakula

1.Asubui vitafunwa aina zote na chai/maziwa

2.Mchana milo takriban 4 au 5

3.usiku Milo mitatu pamoja na chips

4.vinywaji vya aina zote

Naombeni ushari kulingana na maswali ninayo jiuliza.

1.5mil itatosha?

2.Business locatio (mimi mkazi wa dsm,mbagala)

3.who is manager (specifications of manager)?

4.Number of workers?

5.Business monitoring method?

6.daily collection amount

Nisaidieni mawazo yenu.
Biashara haina formula so hata uiandike bado haitaenda katika mfumo ulioukusudia sijui namna naaeza iita but if u choose bzness do bizness dont wait for rocket science to come and boost ur level of confidence
 
Biashara ya chakula inahitaji usimamiz Wa hali ya juu
Inatakiwa mtu mwaminifu
Vinginevyo hutafika popote
Naongea kutokana na uzoefu
 
Back
Top Bottom