kabisa yaan hakuna mlipaji kipind hikiKukopesha utafeli
undefinedhailipi labda awe anafuata fuso nzima,undefinedcha muhimu nunua material,tengeza mwenyewe,uza,uzuri material kwa hapo bongo unapata labda ukose mawese tuKwenda na kurudi kutoka dar mpaka kigoma nauli ni 200000 pamoja na gesti kula na bia 2,3Pig hesabu kama itakulipa
Naomba uniunganishe mkuuNikuunganishe na mtu yupo Kailua anatengeneza
ukiuza cash si utachelewa kumaliza mzigo watu wanapenda kukopa na kulipa buku buku kila sikukabisa yaan hakuna mlipaji kipind hiki
acha kabisa hakun biashar ngumu kama kukopesha hasa kipindi hiki mkuuukiuza cash si utachelewa kumaliza mzigo watu wanapenda kukopa na kulipa buku buku kila siku
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli zinatengenezwa na magadi?Sasa hizi zinatengenezwa hapa hapa dar, pata shule nunua malighafi tengeneza.
hivi hawa waha wanakopesha sana vyombo nafikiri inawalipa sana kila siku wanapitia bukuacha kabisa hakun biashar ngumu kama kukopesha hasa kipindi hiki mkuu
Mkuu mrejesho wa wazo lako vp ulifanikisha?nitashukuru mkuu no 0657536080
udartNatumai muwazima.niende moja kwa moja kwenye mada mimi ni mkazi wa dar es salaam kutokana na vyuma kukaza nimepata wazo.la kwenda kununua mzigo wa sabuni kule kigoma nije nifanye biashara ya kukopesha hapa dsm. Naomba wazoefu.wa hii biashara wanipe ABC za hii biashara nb.ni zile sabuni za magadi nackia huko zinapatikana kwa wingi asanteni
.