Udart
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 398
- 586
Natumai muwazima.niende moja kwa moja kwenye mada mimi ni mkazi wa dar es salaam kutokana na vyuma kukaza nimepata wazo.la kwenda kununua mzigo wa sabuni kule kigoma nije nifanye biashara ya kukopesha hapa dsm. Naomba wazoefu.wa hii biashara wanipe ABC za hii biashara nb.ni zile sabuni za magadi nackia huko zinapatikana kwa wingi asanteni
.
.