Biashara ya sabuni toka Kigoma

Biashara ya sabuni toka Kigoma

Udart

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2016
Posts
398
Reaction score
586
Natumai muwazima.niende moja kwa moja kwenye mada mimi ni mkazi wa dar es salaam kutokana na vyuma kukaza nimepata wazo.la kwenda kununua mzigo wa sabuni kule kigoma nije nifanye biashara ya kukopesha hapa dsm. Naomba wazoefu.wa hii biashara wanipe ABC za hii biashara nb.ni zile sabuni za magadi nackia huko zinapatikana kwa wingi asanteni
.
 
Sasa hizi zinatengenezwa hapa hapa dar, pata shule nunua malighafi tengeneza.
 
Kwenda na kurudi kutoka dar mpaka kigoma nauli ni 200000 pamoja na gesti kula na bia 2,3
Pig hesabu kama itakulipa
 
Kwenda na kurudi kutoka dar mpaka kigoma nauli ni 200000 pamoja na gesti kula na bia 2,3Pig hesabu kama itakulipa
undefinedhailipi labda awe anafuata fuso nzima,undefinedcha muhimu nunua material,tengeza mwenyewe,uza,uzuri material kwa hapo bongo unapata labda ukose mawese tu
 
Tafuta soko la jumla..hasa maeneo ya temeke....nunua uza....hayo unayoyataka yatafuata pale mtaji ukikua zaidi
 
Natumai muwazima.niende moja kwa moja kwenye mada mimi ni mkazi wa dar es salaam kutokana na vyuma kukaza nimepata wazo.la kwenda kununua mzigo wa sabuni kule kigoma nije nifanye biashara ya kukopesha hapa dsm. Naomba wazoefu.wa hii biashara wanipe ABC za hii biashara nb.ni zile sabuni za magadi nackia huko zinapatikana kwa wingi asanteni
.
udart
mrejesho vp kuhusu biashara hii
 
Back
Top Bottom