Biashara ya salon za kiume na kike

Ahahaah.. Duuh hatari sana umempigia mpaka TV ila hapo kwenye generator asiangaike aje nimuuzie tena kwa bei nafuu?
 
Kuna group la whatsaap lina tafta watu wenye only saloon na watakao kujifnza o kufungua saloon tutaftane in 0755161970 nikuadd
 
Ndugu zangu wana jf nilipenda kufaamishwa gharama za kufungua barbershop inahitaji mtaji wa kiasi gani ? Vifaa vinavyo itajika ? Na namna ya kuendesha barbershop ? Asanteni
 
Ndugu zangu wana jf nilipenda kufaamishwa gharama za kufungua barbershop inahitaji mtaji wa kiasi gani ? Vifaa vinavyo itajika ? Na namna ya kuendesha barbershop ? Asanteni
Ili upate msaada unahitaji ufunguke zaidi kuelezea ubora na huduma unazotaka kutoka kwenye saluni yako.
Mfano zingine ni kunyoa tu, zingine kunyoa scrubing, masculine, etc., zingine zinatoa mpaka huduma ya massage nako huku kuna levels zake. So you better be clear and specific on what you need otherswise, tunasoma tunasepa
 
Kunyoa ,kuosha na Huduma zingine ndogo ndogo kama scrubing
 
Ndugu zangu wana jf nilipenda kufaamishwa gharama za kufungua barbershop inahitaji mtaji wa kiasi gani ? Vifaa vinavyo itajika ? Na namna ya kuendesha barbershop ? Asanteni
Inategemea na mazingira uliyopo,
 
Kunyoa ,kuosha na Huduma zingine ndogo ndogo kama scrubing
Hapo unahitajika kuwa na angalau viti viwili vya kunyoa ambapo @600,000 mpaka 900,000 kwa kila kiti.
Sinki la kunawia la kawaida sana 450,000.
Kiti cha kufanyia scrub kama 350,000.
Heater na system ya Maji!!!!!!
Machine za kunyolea atleast 3. @120,000 kila machine.
Sterilizer 270,000/.
Vingine vidogo vidogo vingiii.
Otherwise chini ya hapo utakuwa na kisaloon kidogo cha uswazi uswazi.
 
Saluni ya kiume

Viti vingapi vya wanyolewaji? (Kulingana na nafasi ya chumba)
Mashine ngapi za kunyolea? (Kulingana na idadi ya viti)
Viti (koch) cha kukaa wateja...
Vioo viwili vya ukutani..(..)
Vitana na machanuo..
Spirit..pamba..maji..
Feni..
Kodi ya jengo la saluni..

....
 
Bila shaka kwa uelewa wangu kuna tofauti kati ya saluni na barber shop
 
Asante mkuu kwa ushirikoano wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…