Lizarazu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 6,333
- 7,879
Ahahaah.. Duuh hatari sana umempigia mpaka TV ila hapo kwenye generator asiangaike aje nimuuzie tena kwa bei nafuu?Inategemea mtaji wako ni kiasi gani,lakini kama hiyo picha hapo juu ndio wewe nna uhakika hautashindwa bajeti hii kwa saluni bora kabisa na ya kisasa.
Viti 6@900,000 = 5,400,000
mashine5@100,000. =. 500,000
viti 2(washing room). =
Air confitioner 18000BTU 5*5 = 1,400,000
Tv inch 32 sumsung. =. 500,000
Workstation mirror 4@200,000= 800,000
Towel warmer. =. 400,000
Sterilizers. 4@ 200,000. =. 800,000
Generator. =. 500,000
others. =. 500,000
Frame and refurbish. =. 5,000,000
TOTAL. =. 15,800,000